Umri sahihi wa kufunga ndoa

Kisheria ni umri usiopungua miaka 18 kwa huko tz, lakini huku majuu ni umri usiopungua miaka 16.
 
Sijui kwa nini watu wanaweka ukomo wa umri wa kuolewa. Mtu anaweza kuolewa akifikusha miaka 18 na kuendelea. Hata 40 anaweza kuolewa. Lakini umri sahihi kwa mwanamke kuolewa ni 25 na kuendelea. Hakuna ukomo.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…