20-30 hapo uwe umeolewa
19+ kama haupo na mambo ya kishuke shule
21-24 au 25 kama unamalizia masuala ya chuo
25-27 hapa jua karibia lizame. Kama ni mkristo anza kuimba kwaya kanisani huenda waumini wenzako watakuona
28-35 unaweza kutafuta mtu uzae nae(hasa kama huwazi utakula nini na utavaa nini) kwani sometimes ndoa sio lazima bali ni muhimu
Cha msingi ni utayari, kujua nini maana ya ndoa.
Unaweza ukawa una Miaka zaidi ya 30 na usiwe tayari na unaweza kuwa chini ya 20 ukawa tayari kwa ndoa. Inategemea na mtu.
Wengi watasema kati ya 20-30 kwasababu ndio umri ambao binadamu anakuwa amekomaa kiakili na kuweza kujitegemea. Lakini kuna watu maisha yame wakomaza wakiwa below 20 na wameanza kujitegemea wakiwa wadogo
Kwahiyo Ishu ni utayari na si umri

Naomba kuongea kwa kirefu na wewe aisee..plZ
Nashukuru. .maana mtu ana miaka 22 mwaka huu..boyfriend wake kampropose amuoe mwakan akiwa na miaka 23 eti mmoja wa rafiki zetu ana mwambia ts too early. ..na bado hajamalza utoto..tho mwenyewe anasema mkaka wa watu kamkubal na hal yake alvyo
Sounds like hayupo tayari huyo. Neno "utayari" ni pana Sana,kuna vitu vikubwa viwili
1. Utayari wa nafsi yako Kwa kuelewa majukumu ambayo yanaletwa na ndoa. Unatakiwa kujua kuwa ndoa haina ubinafsi,ina mabonde Mengi na Pia kuna mambo Itabidi uachane nayo ili kuihudumia ndoa.
2. Uwezo wa kujitegemea kiuchumi na kimaamuzi. Hapa ina jumuisha kumaliza malengo ya kielimu Au kama huja bahatika kwenda Shule at least Uwe na kitu kinacho kuingizia kipato maana Maisha Siku hizi Sio zile Habari za mke Kuwa mama wa nyumbani tu
Sasa huyo Rafiki yako kwa hilo la kusema kuwa bado hajamaliza Ujana na anajifariji kuwa Huyo mkaka anaelewa sio sahihi. Akisha Ingia kwenye ndoa mambo hubadilika,kama bado ana mtizamo huo wa kwamba hajamaliza ujana inabidi afikirie Mara mbili.