Sammo Hung
JF-Expert Member
- Aug 4, 2017
- 1,165
- 1,360
Hiyo volcano anayoitengeneza humo ndani siku ikija kulipuka atamsababishia mtu kansa..
Padri umri wa mwisho ni miaka 40 mwisho.Huyo rafiki yako ni jinsia gani kama ni me mwambie awe padri kama ni ke mwambie awe sister
Awe tu padri wa kuamua yeye mwenyewePadri umri wa mwisho ni miaka 40 mwisho.
Huyo rafiki yako ni jinsia gani kama ni me mwambie awe padri kama ni ke mwambie awe sister
Kwani huyo ni hanithi mkuuMkuu kama mwanaume anataka kuwa padré basi viungo vyote viwe vinapiga kazi, na wanakupima, hawataki ma-hanith.
Atakuwa mtu wa dar tu na bado alivyokuwa anaruka ruka alijua sifa mwambie atulize kipagoKuna rafiki yangu mmoja umri wa makamo miaka 48 kaniomba ushauli, katia umri wote huu hajawahi kuoa wala hana mchumba na wala hatamani. hali hiyo inamtia hofu, ndugu zangu wana jf na kitongoji cha MMU naombeni ushauri utakao mfaa huyu rafik yang.
mi sipandi mwendo kasiFanya hivi, kwenye maongezi yenu mshike matako kama vile bahati mbaya, akitulia bila kuwa mkali, jaribu tena mara ya pili kuyashika kisha chelewa kutoa mkono akitulia utakuwa na jibu ila akikupiga ngumi ya uso kwa hasira njoo tukushauri tena.
Hakusema hajawahi kudate au kuwa na mpenzi...Huyo rafiki yako ni jinsia gani kama ni me mwambie awe padri kama ni ke mwambie awe sister
Mkuu, unasema.... Miaka 48 hajawahi kufanya mapenzi..!!!!!hapana katika umri hajawahi kufanya mapenz
Anagegedaje na wakati hamu hanaHakusema hajawahi kudate au kuwa na mpenzi...
Amesema hajawahi kuoa wala kuwa na mchumba...kwa hiyo hapo kugegeda anagegeda kama kawaida
Hebu mvulie naniliu uoneAnagegedaje na wakati hamu hana