Kinyozi_tz
Member
- May 23, 2020
- 17
- 44
Hiyo namba moja ndo nini mbona huelewekiHabarini wadau nisi wachoshe ngoja niende moja kwa moja katika mada .Katika jamii mwanaume kumzidi umri mwamamke imekuwa jambo lakawaida sana katika suala zima la mapenzi na mahusiano.Lakini linapo kuja swala mwanamke kuwa na umri mkubwa inakuwa nongwa mara anatoka na lishangazi nk ni baadhi ya maneno ambayo wanaume kwenye aina hii ya mahusiano hukutana nayo.
Mimi nataka kujua mambo yafutayo kwenye aina hiyo ya mahusiano
1.Nin madhara ya mwanamke kumzid umri mwanamke
2.Je nisahii kuoa mwanamke anaye kuzidi umri mfano 5years wazoefu mnaweza kushare experience zenu brother wangu anataka kuoa mtu wa aina hiyo lakini familia inapinga
Akhansanteni wadau
Brother mwenyewe ni wewebrother wangu anataka kuoa mtu wa aina hiyo lakini familia inapinga
Mishangazi mitamuUtakuaje na mwanamke mkubwa aseee mkiongozana kama anakupeleka shule......
Watoto wadogo wameisha? Watoto namba DZ watoto namba E? Acha uboya....
😂😂Unaweza ukawa unazabwa na huyo mwanamke mzee mshangazi
YeahBrother mwenyewe ni wewe
Hakuna madhara yoyote. Ni uamuzi wa wapenzi. Acahana na bla bla unazosikia. Ndoa au uhusiano ni uamuzi wa watu wawili wenye umri wa miaka zaidi ya 18. Walimwengu siku zote watasema hata ungeoa au kuolewa na nani.Habarini wadau nisi wachoshe ngoja niende moja kwa moja katika mada .Katika jamii mwanaume kumzidi umri mwamamke imekuwa jambo lakawaida sana katika suala zima la mapenzi na mahusiano.
Lakini linapo kuja swala mwanamke kuwa na umri mkubwa inakuwa nongwa mara anatoka na lishangazi nk ni baadhi ya maneno ambayo wanaume kwenye aina hii ya mahusiano hukutana nayo.
Mimi nataka kujua mambo yafutayo kwenye aina hiyo ya mahusiano
1. Nini madhara ya mwanamke kumzid umri mwanamke
2. Je, nisahii kuoa mwanamke anaye kuzidi umri mfano 5years wazoefu mnaweza kushare experience zenu brother wangu anataka kuoa mtu wa aina hiyo lakini familia inapinga
Akhansanteni wadau
Umri muhimu, kwa nyie wanaume uoe aliekuzidi 5 duh sjui bhana ,haipendezi wakati mwingine