Mother Confessor
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 18,684
- 45,616
Be stable ww kwanza,. Yaani ww badoo una vitu vingi vya kuweka sawa kabla ya kuingia/kuweka sawa mahusiano,.24yrs of age?,.tengeneza misingi kwanza.
Jibu zuriSoma umalize shule uanze kutengeza hela bila hela hakuna uhusiano wa kudumu
Sahau kabisa
Bro you are Telented[emoji23][emoji23] una Maana Niwe Single sio!Nina imani unamzidi umri na elimu dogo Janja, ila mwenzio kajiweka kwa mama yake mdogo Irene Uwoya.
Issue ni pesa tu umri ni namba za kuzaliwa, ila kamili utazipata ukifikisha miaka 30, kwa sasa bado upo kwenye foolish age.
Paulo wa kwenye Biblia alipowashauri watu wakiweza wawe kama yeye yaani wasiowe lakini wengi hawakumuelewa.
Una maisha mazuri sana ila ujitambui tu, sasa wewe endelea kukisaka kifo cha mapema kwa nguvu zote.
Mkuu wewe ni Mkatoliki? Umeongea Kama Padre Mmoja Mlezi wetu! Ubarikiwe sana Ndugu yangu..Hili nitalisimamia!Tafuta pesa! Vaa vizuri, Fanya mazoezi, pumzisha mwili wako, muombe muumba wako.
Kitu cha mwisho na cha msingi zaidi USIKURUPUKE ...kila kitu unachokifanya kwa sasa kinaweza kutafsiriwa na kupewa uzito. Hivyo kuwa makini sana kwa kila kitu unachokifanya.
Kumbuka hatima ya maisha yako na familia yako ipo mikononi mwako. Hivyo basi ni muhimu sana kujiwekea mizizi ya kujitegemea na kuwa mwaminifu.
Mwisho kabisa iheshimu sana pesa...Tafuta sana pesa, kuwa na moyo wa huruma na kujitolea ila usiwe mwepesi wa kutoa toa pesa. Kwa Leo ngoja niishie hapa.
Hongera sana Mwamba Embu Nipe Tekniki ulitumia Ujuzi gani?Yaani mkuu mimi na wewe tumefanana kila kitu huwezi amini.
Umri
Kimo
Mwili
Hauko peke yako, hata mimi kimausiano nimetulia kwanza kwa sasa. Sipo kwenye serious relationship.
Nahisi hadi tabia huenda tumefanana aiseeh.
Tengeneza kwanza life mkuu. Hawa watu wapo tu. Me mwenyewe bado nimetulia kwanza naset mambo yakae poa zaidi. Ingawa now najitegemea tayari na nina maisha yangu.
nakazia... uko deep sanaSoma umalize shule uanze kutengeza hela bila hela hakuna uhusiano wa kudumu
Sahau kabisa
Daah Mshikaji umeongea ki reality zaidi wala sio theory[emoji120][emoji120]bado una safari ndefu kidogo,hitimu kwanza uingie field kwa sababu kipindi hicho maisha huwa yanayumba/yanakuwa kinyume na mategemeo.baada ya muda utajikuta uko kwenye mahusiano bila wewe kutarajia;kwa sasa usitumie nguvu.
Mfano juu ya nn mdogo angu?!Mfano Halisi ni upi dada mumu
Aiseee ""Tengeneza maisha
Sisi tutakuja tu