Umri gani sahihi kupata mtoto?

Jun 7, 2022
35
37
Ni umri upo sahihi kupata moto Nina miaka 25 vipi nimechelewa au bado maana napambana naogopa kumpa moto wa watu mimba wakati maisha yangu bado sijaweka sawa vipi nitakua nimechelewa aud bado maaana nakua na mawazo sana ya kupata moto na kuweka maisha yangu vizuri
 
Una uhakika gani na kesho yako kuwa utakuwa hai hadi uanze kushindana na umri?

Je waliopata wakiwa wadogo sana kisha walitelekeza familia kwa kukosa maarifa ya malezi bora?

Vipi waliopata uzeeni nao wajilaumu kwanini walichelewa ilihali anayeumba ni Mungu?

Mungu hachelewi wala hawai, kuwa mpole kwani hayo ndiyo maisha.
 
Mkuu una kipato cha kueleweka kuhudumia,, kama ndiyo una mahusiano yaliyonyooka then fuata utaratibu weka mtoto ndani ,,,,kama bado endelea kula ujana msije ongeza single mothers huku mtaani maana waliopo tu ni wengi sana.
 
Ni umri upo sahihi kupata moto Nina miaka 25 vipi nimechelewa au bado maana napambana naogopa kumpa moto wa watu mimba wakati maisha yangu bado sijaweka sawa vipi nitakua nimechelewa aud bado maaana nakua na mawazo sana ya kupata moto na kuweka maisha yangu vizuri
Kama kweli unaogopa kumpa mtoto wa watu mimba, basi tambua fika wewe bado huna sifa ya kuitwa baba kama sisi baba zako humu jukwaani.

Hivyo endelea kujiandaa kimaisha, ili na wewe siku moja uje kuitwa baba kweli! Na siyo baba jina.
 
Mm nimeoa ninamiaka 19 mke wangu alikua na miaka 17.nina watoto wawili wakwanza anamiaka sita wapil mi3 saiz waifu ni mja mzito.lengo nataka niwe na watoto watano tu bas.nikushauri tu kua kama wazo la kuoa limeanza kukujia we oa tu kama umeandaa mazingira.mke mzuri ni yule wa kwanza nae moja sio wa kuoa ukiwa una nyumba
 
kupanga ni chagua maamuzi ndo kila kitu usipofanya uamuzi hakuna kitakachotokea, atleast hadi 30 uwe na mtoto wawili au mmoja, hii itakusaidia kuwa serious na maisha
 
kupanga ni chagua maamuzi ndo kila kitu usipofanya uamuzi hakuna kitakachotokea, atleast hadi 30 uwe na mtoto wawili au mmoja, hii itakusaidia kuwa serious na maisha
kuwa serious na maisha ni akili ya mtu
 
Back
Top Bottom