Dr.kapama
Senior Member
- Nov 12, 2011
- 180
- 34
Kwa research zilizofanywa hivi karibuni zinashauri mtoto alale peke akiwa na umri wa miaka 5.
Si vema mtoto kulala na wazazi kitanda kimoja,tangu mdogo yapasa awe na kitanda chake mwenyewe.
Umri ukisogea anza kumlaza kwenye chumba chake wakati wa mchana ili apate kukizoea.
Mieleze kwa upole kuwa sasa ni muda wa yeye kuanza kijifunza kulala peke yake.mueleze ilivyo bora kulala peke yake ikiwa ni pamoja na kujijengea ujasiri.
Mhakikishie kuwa karibu yake kwa muda wote atapokuwa peke yake.
Kama anaogopa giza,mtengee taa karibu na kitanda chake ili kumuongezea ujasiri.
Mara moja moja akipata ndoto za kutisha lala naye room kwake,hiyo itasaidia kuamini upo pamoja naye hata akiwa na chumba chake..
Usiache kumpingeza kwa zawadi anapofanikiwa kulala peke yake..
KUZAA SIO KAAZI,KAAZI KULEA MWANA