MwanaMagongo
Member
- Aug 15, 2011
- 74
- 43
Wewe Pimbi uwe unatumia akili huyo Komanya ni Pimbi wa kutupa anasumbua watu wewe unamtetea, ni empty head, tabulalasa, premature imbecile, kipindi nimetembelea Tabora nilikuta kazusha ujinga wa kuanzisha mipaka mipya ya shule na kuingiza makazi ya watu ,alizua taharuki mpaka alipokuja waziri mkuu na kumtuma Lukuvi ndio kumaliza tatizo,huyo ni limbukeni wa kutupa,alienda standi ya zamani kwa wenye Tabora wanywa kahawa awazuie kunywa kahawa mida ya kazi walimgandisha kwenye gari akakoma ,naona sasa anahangaika na watumishi tu.Akileta za kuleta nendeni kipiri,kabwe radi shilingi 1500 mtwangeni mbona mnamchelewesha.Kwakuwa una akili ndogo kwani rais kaajiliwa na nani?katiba18 (I).Kama kweli hili ni tamko la walimu, linatofauti gani na la wale vijana wa UDSM walioiagiza Serikali ndani ya saa 72. Yajayo yanafurahisha...
Rais kaajiliwa na nani katiba 18(I).Kwamba walimu wanafikisha malalamiko ya DC kwa wananchi badala ya Rais ambaye ni mteuaji? Ndio nasikia leo
Rc hafurukuti mbele ya mtoto wa dada a.k.a uvccmuwt.Huu ni umbea inamaana hata RC hayajui hayo? Mbea wewe.
Other
Nam nahitaji majibu kwanza hasa hiyo manispaa ya taboraKabla hatujaamua kesi.Tupe tathmini ya Kielimu ya Mkoa wa Tabora.Mpo grade gani kitaifa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Inabidi wewe uende tabora ukautafute ukweliMkuu wa Wilaya, Komanya anaweza akawa na madhaifu yake lakini ninachokiona kwa sasa ni kama kuna juhudi fulani hivi za kumchafua!
Hili bandiko linaonyesha juhudi hizo za kumchafua lakini tatizo kwa wanaomchafua ni kutojua kuwa hii serikali ya sasa haifanyii kazi majungu na fitina!
Kwanza, Ukweli huwa hautafutwi bali hujitokeza wenyewe! Unaotafutwa ni uongo kwa sababu huumbwa!Inabidi wewe uende tabora ukautafute ukweli
Alafu utulete humu jf..... Fanya hivyo kamanda
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app