Umoja wa Ulaya (EU), umezungumzia malalamiko yaliyotolewa na wabunge wa Chadema ‘walioandamana’ kwenda katika ofisi zao

Vikwazo vitakutesa wewe na ndugu zako maskini, watawala watapinduliwa labda, venye unataka. Watakuja watawala wengine watakandamiza kabisa hizo sheria. Ndipo utagundua uliruka mkojo ukakanyaga mavi.
Hamna utawala unaofuata sheria 100%, kama ilivyo kwa raia ilivyo ngumu kutii sheria na katiba, ndivyo ilivyo utawala, it's men with flaws in charge, not God.
Ushauri wako mzuri, Je jiwe linasikia ushauri?! Labda kwa moto wa magogo litapasuka!! Wakati anaomba kutuongoza alikuwa muungwana na uungwana huo uendelee bila visasi
 
Ina maana Wabunge wa Chadema wanaamini Tanzania Ni mwanachama wa Jumuia ya Ulaya?

Kwanini hawa kuandamana kwenda Ofisi za Umoja wa Mataifa?

Umoja wa Ulaya huwa wanaingilia mambo ya Nchi zingine pale tu Maslahi Yao yanapotikiswa

Dr Kiiza Besigye anapigwa Kila uchao na Utawala wa Museven lakin hujaskia Kauli ya EU, Kwenda kushtaki huko Ni kupoteza Muda na Kama wanabisha wamuulize Maalim Seif alikuwa Kila baada ya Uchaguzi anakimbilia Umoja wa Ulaya lakin Siku hizi kachoka
Pohamba ulitaka mupongezwe baada kuwatesa wapinzani wenu ??!!! Bora kuteswa na mkoloni kuliko kuteswa na mwafrica mwenzio kwa kigezo cha mpinzani
 
Pohamba ulitaka mupongezwe baada kuwatesa wapinzani wenu ??!!! Bora kuteswa na mkoloni kuliko kuteswa na mwafrica mwenzio kwa kigezo cha mpinzani

Umoja wa Ulaya na Umoja wa Mataifa wapi Ni sehemu sahihi zaid ya kwenda kulalamika?
 
nguvu ya umma imeshindwa?? mi nilidhani badala ya kwenda ofisi za EU,mngeenda kwa wananchi ili muone watasemaje na kuchukua hatua gani! je mnataka kutuambia kuwa nguvu ya umma imeshindwa??
Ili mpige risasi mikutano mmekataza hao wananchi watawatoa wapi,au umeandika kwa kujisahau ndugu yangu najua tu.
 
Sasa inakuaje mpiganie Uhuru wa kukosoa Halafu hamtaki tuwakosoe?
Mzee Pohamba hivi kweli mauaji ya Mawazo, Olassiti Arusha, vijana wa Tarime, Mbeya, Hananasifu, Moro etc hayakutishi?! Na risasi hizi za mchana kweupe hazikutishi?! Na Je utekaji kwa kutamka tu jina malaika mkuu Gabriel kwako ni burudani?! Hebu sote tuwe waTz na tuachane na itikadi haitatuvusha wala!!
 
Utawala huu mpaka uwekewe vikwazo ndiyo utasikia, mtu anayechezea katiba na sheria za nchi ni hatari kuliko hata Ebola, hatufai kabisa
wanatutesa tu. wakiwekewa vikwazo atakayeumia ni mwananchi wala sio walio ikulu, wao bado wanatembelea ving'ora, wake zao wameshasahau hata kuosha vyombo.
 
Mzee Pohamba hivi kweli mauaji ya Mawazo, Olassiti Arusha, vijana wa Tarime, Mbeya, Hananasifu, Moro etc hayakutishi?! Na risasi hizi za mchana kweupe hazikutishi?! Na Je utekaji kwa kutamka tu jina malaika mkuu Gabriel kwako ni burudani?! Hebu sote tuwe waTz na tuachane na itikadi haitatuvusha wala!!

Kuvaa koti la Uzalendo kinafiki Ni kubaya sana
Mkushataitiwa mnakimbilia kwenye kichaka cha Uzalendo na Utaifa
 
Kuvaa koti la Uzalendo kinafiki Ni kubaya sana
Mkushataitiwa mnakimbilia kwenye kichaka cha Uzalendo na Utaifa
Unawatait namna gani wakati wao wamezuiliwa kufanya siasa hadi majimboni kwao??!! Mtait mtu huku play ground ikiwa neutral. Nyinyi mkuu anafanya siasa haki yake, pole pole , wale wa mikoa na wilaya wanafanya. Hawa kwa nini mnawazuia kujieneza?! Unapambana na mtu aliyefungwa mikono, halafu unajisifu!!!
 
Moja ya majukumu Yao Kama Wapinzani Ni pamoja na kupambana na Hilo katazo la kufanya Siasa na Kama wamshindwa wakasaidie kufanya kazi nyingine waachane na Siasa
 
Moja ya majukumu Yao Kama Wapinzani Ni pamoja na kupambana na Hilo katazo la kufanya Siasa na Kama wamshindwa wakasaidie kufanya kazi nyingine waachane na Siasa
Pohamba watafanyaje kama mahakama inatoa dhamana huku serikali yenye magari zaidi laki ikikosa gari ya kuwaleta watuhumiwa!!!
 
Back
Top Bottom