GE2025 Umoja wa Mafundi Magari Kinondoni tutampigia kura Samia Suluhu

GE2025 Umoja wa Mafundi Magari Kinondoni tutampigia kura Samia Suluhu

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
2,437
Reaction score
5,235
Kipindi hichi ndio nimefahamu kwamba Tanzania kuna makundi yenye umoja, maana hati umoja wa mamalishe Tanzania nimeufahamu kipindi cha Samia
==============
Umoja wa Mafundi Magari Kinondoni Dar Es Salaam umetoa wito kwa mafundi wengine nchini kumpigia kura mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan.

Akizungumza na vyombo vya habari leo Oktoba 15, 2025 Makamu Mwenyekiti wa Umoja huo Abdallah Rashid Nkindwa amesema zipo sababu lukuki za wanachama wa umoja huo na Watanzania kumchagua Dkt. Samia Suluhu Hassan.

Ameeleza sababu za kumchagua Dkt Samia ni kukamilishwa kwa miradi mikubwa iliyoachwa na hayati Dkt. John Magufuli kama Bwawa la Umeme la Mw. Nyerere na Treni ya Umeme ya SGR.

 
Mimi kama mwenyekiti wa vijana tusio na ajira, tunaochukia ufisadi, rushwa na utekaji Tanzania. Kikundi chetu kina wanachama milioni 20 na kwa uwingi huo wamenituma kusema kuwa oktoba 29 tutaandamana ama inyeshe mvua au liwake jua.
 
Sasa kinondoni yenyewe yote imejaa makuchu hapo kutarajiwe nini zaidi ya maamuzi ya kisengerema.
 
ok, ok, asante kwa maoni. sasa nasubiri kumsikia mwenyekigoda wa umoja wa mal*ya/wajasiria K wa kino kutoa tamko, nitafurahi pia.
 
Back
Top Bottom