Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 4,393
- 14,500
Wakuu!
Hawa Chawa wa Rais Samia wanajitahidi sana kufosi mambo ili ionekane Rais anapendwa 🤯
==
Generation Samia kwa kushirikiana na Umoja wa Machinga Dar es Salaam wameandaa Kongamano kubwa sana kwa ajili ya kumpongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa mambo makubwa na mazuri anayowafanyia.
Kongamano hilo litafanyika Tarehe 24, May 2025 katika Viwanja vya Mnazi mmoja, Jijini Dar es Salaam.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025