Umoja wa Kizazi cha Kuhoji(UTG) kuongea na wanahabari kuhusu kupotea kwa Ben Saanane

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Mar 9, 2015
14,243
34,903
Umoja wa Kizazi cha Kuhoji (UTG) unapenda kuwaalika wanabari kwenye mkutano wake (press conference) utakaofanyika kesho (15/04/2017) kuanzia saa 4:00 asubuhi Land Mark Hotel.

Dhima ya mkutano ni kupotea kwa Ben Saanane. Fika bila kukosa.
___________________
-Noel Shao
-N/Katibu mkuu UTG
 
mumechelewa jamaa wamesha kunywa damu yake

mzee kabaksha kichwa kwa kumbukumbu
 
img_BS1Ikb8FEgP.jpg
 
Mbowe jambo hili analijua vizuri, kwa nini yeye kajitenga mbali wakati huyo alikuwa msaidizi wake?

Mpumbavu wewe umetokea wapi kwenye huu uzi?? Unatukana serekali kuwa haina akili (Intelijenzia) wala uwezo?? Kama unao ushahidi kuwa Mbowe anahusika, unangoja nini usiupeleke polisi wakamkamata?? Mpelekee basi hata Bashite akamuweke ndani leo. Kama aliweza kumtaja kwenye ngada na Mbowe hakumfanya lolote atamshindwa kwa utekaji/uuaji huo ukimpa vielelezo vyako? Changizo nyingine humu ni za ki fala kabisa.
 
Umoja wa Kizazi cha Kuhoji (UTG) unapenda kuwaalika wanabari kwenye mkutano wake (press conference) utakaofanyika kesho (15/04/2017) kuanzia saa 4:00 asubuhi Land Mark Hotel.

Dhima ya mkutano ni kupotea kwa Ben Saanane. Fika bila kukosa.
___________________
-Noel Shao
-N/Katibu mkuu UTG
Lazima tu utakutana na majina ya watu wa Ukanda huo kwenye kila matangazo kama hayo! Haya watu wa kilimanjaro mpoooo?
 
Mpumbavu wewe umetokea wapi kwenye huu uzi?? Unatukana serekali kuwa haina akili (Intelijenzia) wala uwezo?? Kama unao ushahidi kuwa Mbowe anahusika, unangoja nini usiupeleke polisi wakamkamata?? Mpelekee basi hata Bashite akamuweke ndani leo. Kama aliweza kumtaja kwenye ngada na Mbowe hakumfanya lolote atamshindwa kwa utekaji/uuaji huo ukimpa vielelezo vyako? Changizo nyingine humu ni za ki fala kabisa.
Mbona umepanic sana, wasiwasi wako ni nini?
 
  • Thanks
Reactions: ZNM
Umoja wa Kizazi cha Kuhoji (UTG) unapenda kuwaalika wanabari kwenye mkutano wake (press conference) utakaofanyika kesho (15/04/2017) kuanzia saa 4:00 asubuhi Land Mark Hotel.

Dhima ya mkutano ni kupotea kwa Ben Saanane. Fika bila kukosa.
___________________
-Noel Shao
-N/Katibu mkuu UTG
ndio vizuri mkijitokeza tuwajue. nyie tanzagiza hamuishi uchochezi na kutukana. kesho tutafika ili tuwafamu tanzagiza.
 
chedema wanaweza kuua na serikali inatoa macho tu?????

wapuuzi

nisawa nakuzani gwajima anauza madawa nhgekuwa kweli mangu angeenda kumkamata mwenyewe na kumsomea mashitaka
 
Mbona umepanic sana, wasiwasi wako ni nini?

Mkuu;
Sina wasi wasi wowote ila nachukia wakati watu wanashusha nondo linatokea baradhuli linaleta maneno ya kike (Umbeya) katikati ya nondo kuondoa tu mtiririko. Aksante kama utanielewa nisaidie kumwambia siku nyingine aanzishe uzi wake kumhusu anaye mtuhumu.
 
Kizazi cha kuhoji ambacho viongozi wake wengi ni Bavicha lakini wameshindwa kuhoji Jinsi Mbowe anavyobinya Democrasia ndani ya chama?

Pia nadhani kama wangefanya kama jina lao (Kizazi cha kuhoji) wangemuhoji Mbowe angewambia na Ben alipo au wangemfata kada wao mwingine mbunge wa Ubungo alisema kupitia gazeti lake anajua Ben alipo
 
Back
Top Bottom