Mshume Kiyate
JF-Expert Member
- Feb 27, 2011
- 6,766
- 894
1. ubora wa mwislamu anaujua yule alomuumba, na nakuthibitishia kua mimi si mbora kuliko mufti, nimeelewa wewe ni mzuri katika hoja pamoja na matusi, ila udini siachi maana ndo asilimia kubwa ya maisha yangu na namuomba ALLAH anizidishie hilo, kwani siko tayari kuwaona watu wenye nia mbaya na dini yangu wakiwagawa waumini kwa njia ambayo tumetahadharishwa nazo na nikakaa kimya. chezeeni dini zetu na wala uislamu hauwahusu.wewe kamkumbushe sheikh mkuu afuate huo utaratibu wako. Kwani shekh mkuu yeye alitoa kauli msikitini au kwa waandishi wa habari? Hakutoa kwa siri. Alitoa hadharani nao wao nao wamefanya kama yeye alvyofanya. Acha udini wewe. Tumia akili kufikiri. Au wewe mwisalmu bora kuliko mufti.
kama wewe ni muumini nkushauri uende kwa sheikh wako, au tizama vitabu vyako vya dini, na urejee hiyo takbiiir inatolewa wakati gani! kisha uone kama una haki ya kuitumia hapo!mhu, i beg to differ, Mufti kakemea juhudi za chama cha siasa hadharani, shurti aliyekerwa na jambo hili akemee hadharani pia. Ni vema waislam mtamke waziwazi kuwa mufti anachanganya dini na siasa. Badala ya kutumia cheo chake kuhimiza dini na maslahi ya wenye dini anatumia kiti chake vibaya kwa kulinda maslahi ya wanasiasa- hanabudi kukemewa hadharani. Takbiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiir.
JILE 79 ,, Unachotaka kushangaaa wee nini! lini umeanza kusifia waislam eti oooo "nilitaka kushangaa kuwa waislam ...." kuwa waislam nini? niniiiiiiiiiii ? We huwezi sema viongoz wa kiislam wanaropoka wewe kama nani? hueleweki mara unanawasifu... unajua lakin kawaida ya wenye kuhangaika mara waislamha hawajasoma wanywa kahawa mara leo umewasifu! Hatuitaj kusifiwa nawewe wala na waiman yako hata kama we Jile 79 utakuwa ni Bohora ua utakua ni BUdha faham sisi waislam hatuyumbishwi na wajinga wa suplimentary na kujiita umesoma!! tena me nakutaka kama umesoma wewe post transcropt kayo hapa na vyweti na mi kama muislam unaeniita mnywakahawa niweke zangu (Am sory huenda pia hiyo transcript ikawa msamiati ) ila jua waislam hatuitaj kafiri yoyute kujipendekeza kwa kutusifia wala kuongea ongea ili kumuona mwema!! kama mliamua kutu dis we endelea tu!! hatuitaj utu premodify kinafkiNilitaka kushangaa kuwa ni kweli waislamu wote hawana akili timamu kwa hiyo wanakubali kutumiwa kirahisi hivyo na kikwete na ccm?.............
Kama kweli kasema hivyo basi huu ni mfano wa kuigwa na sio kuropoka hovyo km wafanyavyo baadhi ya viongozi wa waislamu kwa maslahi yao binafsi
Ifahamike kiukweli kama hutofahamishwa na sisis waislam hakuna wakuwafahamisha wasiojua WAISLAM NCHI HII HATUNA CHAMA CHA SIASA CHOCHOTE, Muda huu mnakiskia CHADEMA TUNAKICHANACHANA kwa sababu imeonekana kuna uhuiano wa UKRISTO NCHINI, Si kwamba CCM ndo chama cha kiislam tena ndicho chama MAMA CHA MFUMO KRISTO ILA KWAKUA KIMEAMUA KUJIFICHA JANGWANI SISIS TUNA KI TAZAMA TU ktunamshuhulikia aliejifanya kidume CHADEMA na kwetu ATANYOOKA
Ifahamike kiukweli kama hutofahamishwa na sisis waislam hakuna wakuwafahamisha wasiojua WAISLAM NCHI HII HATUNA CHAMA CHA SIASA CHOCHOTE, Muda huu mnakiskia CHADEMA TUNAKICHANACHANA kwa sababu imeonekana kuna uhuiano wa UKRISTO NCHINI, Si kwamba CCM ndo chama cha kiislam tena ndicho chama MAMA CHA MFUMO KRISTO ILA KWAKUA KIMEAMUA KUJIFICHA JANGWANI SISIS TUNA KI TAZAMA TU ktunamshuhulikia aliejifanya kidume CHADEMA na kwetu ATANYOOKA
mi ntasema kweli daima kama nyie ni waislamu mambo yenu yamalizwe msikitini sio kushabikia vitu mnavyoletewa kwenye jf "nini kasema SAW pale weislamu au mashekh wanapopishana hoja ?" mnaletewa hoja chafu za kuwagawa waislmu wenzenu ili mseme fulani anafaa na fulani hafai mnaanza kwenye jf kuleta misemo na hadith zisizofaa, tumalize mambo yetu msikitini, kwani hilo gazeti la kiislamu? hata kama ni kweli kasema yabidi aambiwe mwenzie kakosea basi kuna njia ya kumkosoa. sasa mnajenga tabaka za ushabiki tu ktk jf. ni lini uliona wasiokua waislamu wameleta mabishano au makosa ya viongozi wao hapa jf ? tieni akili mtume SAW watu wamekojoa msikitini kakaa kimya anasubiri watu waondoke ili amfundishe akiwa peke yake "vp sisi tutumie majukwaa kwa kumsifu huyu na kumponda huyu" kumbukeni kauli ya tauhiiid mnayoshea. ALLAH atuongoze wote mimi na wewe na nimetumia njia hii sababu tu siwezi kukufikia ulipo na sipajui lakini tumfuate mtume kama alivyotufunza ili tumtii mola wetu.
acheni kuwagawa waislamu kwa majina kama hayo, kama huna hoja ni bora ukae kimya, huwezi kutukana kundi la waumini eti "waislamu maslahi" nini wanasiasa wote wanachopigania kama sio maslahi, fanyeni siasa kama siasa wala msianze kuwapa majina kama mlivyofanya siku za nyuma, eti siasa kali na waislamu poa. mimi sina ushabiki na watu waongo kama wanasiasa wa ccm wala cdm ambao nyote mna ahadi zisizoeleweka tu kila siku. waacheni waislamu na msitake kuwatenganisha kwa kutumia vikauli vyenu vilivyojaa matamaniyo mabaya juu yao.Professor ameanza kazi rasmi na bado watabaki waislam maslahi na mufti wao
Una hakika haya ndo mawazo ya Waislamu wote?? Wewe ni nani mpaka uwasemee?
Ina maana hapo kwenye blue, kuna dini gani nyingine ina miliki chama?
Haya mawazo yako ya kidini yataanza kukushughulikia wewe binafsi kabla hayajawafikia wengine
Nilijua tu hii ngoma haikeshi kwa kuwa haikutokana na mawazo ya waislam wa chini ilipandikizwa.
Eti MPENDWA we uandhani ukijiita mpendwa Do I care that shit?!, unataka kunijua mimi nan unahakikaaa NAKUULIZA UNATAKA KUNIJUA MIMI NANI? Upo tayari kukutana na mimi muda wowote!! thibitisha uhakika wa kukutana na mimi tuonane! Nimesha sema hatuna chama cha siasa waislam, wasioua waislam ndo wanavyama vikiwa na misingi wanayo ijua wao! NAIS WEWE MENGI UTAONGEA NA MIMI KWAKUONANA KAMA UTAITAJ.... We uadhani kuna muislam ane kupenda kwamba hana udini SAHAU Kijana tena sahau kwelikweli ! hiii ni forum ya hoja \yenye post za mawazo ya watu sasa Utaamin mawazo yangu pale patakapo kua naforum ya vitendo na ninakuitaj uwe member na UPENDWA WAKO
Duuu! kumbe mnakichanachana CHADEMA, nilikua sijui, mnaonekana mnahasira.
sasa mkimaliza kukichana ndo waislamu mnapata haki zenu???
Hamka wewe and think as a great thinker, wenzako wana wazo zuri la kudai haki zenu na wala sio mawazo yako mgando ya kupambana na CDM.