UMOJA wa Kiislamu (Istiqama) wamtaka Mufti aache kushambulia vyama vya upinzani

muislam wa kweli anasema wazi, hatumiki na mtu. Sheikh Bahama yuko sahihi ni mtu wa kupongezwa amediriki kusimamia kweli. anaangalia maslahi ya nchi ya sasa na vizazi vijavyo c kama Simba anaefikiria tumbo lake kwa wakati uliopo
 
Tunaweza kujikuta tunajadili hoja na vichaa wa mirembe hapa, kipimo cha kwanza ambacho ningefanya ili kuendelea kujibu hoja zako ni akili; inaonekana una mtindio wa ubongo, la sivyo ni uko-stressed sasa unatafuta pa kupunguzia hasira zako za maisha! Sitapoteza muda wangu kujibu upuuzi wako

UNAJUA UMEZOEA KUDANGANYWA, KWANZA UNAELEIM GAN WEWE NAITAJ KUFAHAM Kulingana na nini kichwwa chwako kimezoea tuongee kwa lugh iyo , usisite kusema hatakama we ni makenika nikaongea na wewe kwa lugha ya spana na utanielewa kirais! huwenda ukaniona me foolish ila wewe ukajikuta decipient!!
nawaswas na ufaham wako Anti-fisad !!! kwa the way unavyo kuwa presentable we arudiate alot from ya guys!
 
Hongera waislam, tulikuwa tumevunjika moyo kabisa juu ya maono ya uislam na waislam, vyama vya upinzani si kupinga bali ni kuikosoa serikali.
 
Bila shaka ni either UISLAM umekushindwa au wewe umeshindwa UISLAM, nafikiri wewe ni mmoja wapo mnaye haribu sifa ya uislam. Haiwezekani katika post hii tu umejichanganya kwamba UISLAM unafundisha AMANI at the same time unatangaza vita na chuki, ???
Tunashukuru tuna waislamu wengi wenye busara na uelewa wa hali ya juu, ila wewe hapa unathibitisha yaliyo kujaza moyoni...

NAPENDA KUONGEA NA WEWE MPENDWA KIMAKINI ZAID UELewe:
Hiidini ukisoma kwa kusikia kama vipindi vya televisheni huwezi kui elewa!! ila nakuhakikishia kwa Mchungaji yoyote aliesoma buchelor ya theology laziam ktk module zake anausoma Uislam kama part ya iman fananizi(comparative religion) Unge kuwa wewe una elimu ya utumish wa mungu ukasoma bachelor ya theology USINGE UNDERLINE statement ya vita na hassa ukiwa free plzzz muulize muulize Kiaongozi yoyote wa Iman yako ktk module yake alisoma kitu kinachoitwa Islamic creed ktk kipengele cha Monotheism atakwambia.
Huko mbali sansa Hata babayako wa TAIFA anakiri ktk Islamic creed anaifaham na ndicho kinacho mtia uwoga yoyote asie mfuasi wa uislam! USIONE UNAUSOMA UISLAM KUPITIA TBC, CAHEN 10 na zingnnezo ukadhani umeuelewa HAPANA ILA KIOUNGOZI WAKO WAKIIBADA HASHANGAI KAULI WA VITA KUWA NIIBADA KTK UISLAM.
Nakuusia mpendwa mimi ni mwanafunzi wa comparative religion naelewa wap hujaelewa ila ktk lugha rais unaemuamin ktk ibada akikubainishia ninayokwambia kwakua wamepitia baadhai ya vipengele vya muongozo wa uislam atakuthibitishia haya yote
 
Bado ninamashaka tena MAKUBWA juu ya tamko lenu. Lengo lenu juu ya mchakato wa katiba mpya bado umelalia kwenye udini. Nadhani ndo'maana hata hao wengi wenu waliopo huko vsiwani waliamua KUUCHANA MSWADA, baada ya kuona walichokua na hamu nacho hakimo. Fungukeni 2pigania hatma ya maisha ye2 ya kesho. Mnataka hiyo mahakama wakati hizi zilizopo zenyewe ki2ko zipo jina 2, hawana uhuru hata chembe!
 
msimamo mkali == maji mshindo
MM( DOUBLE M)

iIVUNGA unatafuta umaarufu wa kujibiwa na msimamo mkali?!!
MAJIBU NA UKITAKA KUMUONA HUYO MSIMAMO MKALI ATAKUJIBU KTK VITENDO SI KUANDIKA!! Uwaambie na wenzio wenye shida iyo!! sisis hatufunzi propaganda hapa ni viteno tu maneno hakuna, ipo siku utataman kuchat hivi hatatokua na muda post zako hutoziandika tutakutaka utupostie kwa vitendo
 
juzi juzi tu nilikuwa naonga na rafiki yangu kutoka pakistan na mwingine india, na wote waislamu, moja akamuuliza mwenzake amueleze umuhimu wa kuwepo kwa dini, na mimi nikachangia kidogo, nae akanieleza tofauti za sunni, shia, ismailia, makadiani? bohora nk nk, lakini kwa kifupi alisema dini ya waislamu ni dini wa watu wenye uelewa yaani unatakiwa uwe umesoma ili uweze kufuata uislamu vizuri, sio wale wanao fuata watu kwa sababu alimsaidia nk nk, na kidogo aliongelea hawa wanaoji toa muhanga nk nk.
sasa nawapongeza hawa walio mpinga sheikh mkuu kwa uelewa wao na si kufuata mkombo tu kwa sababu fulani kakusaidia
 
Ukweli na haki huwa vinachelewa tu!....lakini mwisho wa siku hivyo 2 vinakuja vyenyewe bila kuforciwa.
 
Naomba nitoe ujumbe kwa waislamu wote, kumbukeni kua hawa wote ni msheikh, mana qurani katika vifua vyao, wanasema wote kalima ya Lailaha-ila llah, kauli zao sio kigezo chenu kuanza kusema nani kakosea na nani kapatia ili tuwaridhishe hawa mapandikizi(mimi vyama vyote vya siasa nasema ni mapandikizi) nia yao ni dola tu(vyama vyote) hivyo isifike mahala wawatumie masheikh nasi tuwe mashabiki wa masheik (fulani kapatia na fulani kakosea) kama muft kakosea aitwe msikitini na aambiwe "waislmu hatuondoi kosa kwa kutenda kosa" hii tumekatazwa, na kama tutajiingiza katika mtego huu wa kuwafurahisha hawa mapandkizi na tukasahau kile kilichotuleta duniani kwa ALLAH tutaenda kujibu SHABIKIA CCM CHADEMA CUF etc lakini wakosanishe na jenga chuki juu ya waja wa ALLAH kwa kuwafurahisha hawa QIYAMA kipo na kifo kipo.
Mtume SAW katufundisha namna ya kukosoana watu wanapokosea. kwa nini kama hujui usiulize? hivi tujiulize hawa masheikh wafadhaike juu ya matamshi yao na mielekeo yao katika vyama kisha wapate makundi ya kuwaunga mkono katika farqa zao na wageuze khutba zao za ijumaa kushambuliana kama wanavyofanya baadhi yao.wapi utakua mustakabali wa waislmu(kisa ccm na cdm) tuachane na wapuuzi hawa. maana wote tamaa za nafsi zao ndo mwongozo wao "waislamu tunaongozwa na qurani na sunna za mtume SAW kama reference kuu" wala sio dr slaa wala jakaya. tuwe macho tukumbuke umma wa wasiokua waislamu duniani kote wanatushambulia na hali hii kaisema mtume SAW sasa leo yetu yabayumba ya kina ccm na cdm yatatupeleka wapi "au hujui ulimwengu mzima unaushambulia uislamu na mambo yanayotumika ni ya kipuuzi tu kama demokrasia na mengineyo" kama hizi ndo source za maendeleo mbona ndo kila siku tunazidi kufarakana na kupata viongozi wabaya kisa wanapenda zinaa na muziki kama wananchi wao wanavoichukulia? tufuate mila tulopewa tuachane na hawa wanajidai wanajua kututumia tuwaachie kesi zao kwa ALLAH tusishabikie yeyote katika wao na "endapo tutakua na nia ya sulhu hilo ndo bora kwetu"vinginevyo tutakuja juta juu ya vidole vyetu na midomo yetu. ALLAH awalinde kwa idhini yake na hawa majahil waleta faraqa baina yetu.
Duuh! Inaelekea umeandika ukiwa na Jazba kali sana za kimjahidina....lakini wakati Mufti sheikh Simba alipotoa kauli yake ya kuishambulia CDM mbona hukuja hapa jamvini kuongea kama hivi?....Naona umejielezea saaaana lakini hamna cha maana kwa manufaa ya Taifa letu....unapropaganda kama za ccm tu
 
We sjui ndo AVATAR sjui Seniao member mimi siandiki post ili nisomeke na wewe au na wenye IQ ndogo kama yako, ila mshukuru Mungu kwa hako ka IQ cha kutoisoma ana kutoelewa my post...usihofu nitakapo kubadilishia LUGHA na nikanena kwa vitendo na wewe... Akili za wenzio wenye perspection kama yako wanataka wooooooooooote kweye forum nzima tufuate mtazamo mno uitaj wa post na kwenda kinyume mnachukua hatua za kublock account ya aliepinga mawazo yenu.........Sisi kitaalam TUNAFUNDISHWA KUFUTA IDEAR YA MTU NA SI KUFUTA ACCOUNT KAMA INAVYO FANYIKA, huenda ilionekana ni njia ya kuzima kinachosemwa lakin , fahamu kwamba mtu anapo kaa uchi wewe kuziba Macho bado hujamfunika ktk uchi anao onekana nao....! YANGU ILIFUNGWA na ikawachiwa sasa MWAMBIE Boss wako kama nae hatoisoma WALA KUIELEWA POST YANGU Afunge tena Account yangu ila Hatofanikiwa kufunga na kublock vitendo vya msimamo wa post zangu na NGUVU YA MSIMAMO WANGU KTK IIMAN ATAIELEWA PALE ktk battle field wether ya cold war au Ground fghtng rebellion.

NATARAJIBAADA YA POST HII KUFUNGIWA ila yangu yazingatiwe ktk akilli yako!!
UR FREE TO BLOCK MY ACCOUNT right now
Nakutuma we Avatar Mwambie BOss WAKO ANIBLOCK, Mshawish mpaka afanye ivyo haraka iwezekanavyo

Ndugu katika kusoma ppost zako nimegundua yafuatayo
1. Keyboard yako inahitaji maintaince maana makosa ni mengi sana, na kwa elimu yako sidhani kama yasababishwa na wewe itakuwa ni keyboard tu

2. Sina hakika kama kuna mtu anajiita avatar au seniao member humu, uliza maana ya avatar na senior member.

3. huyo unayemuita boss wa avatar na wewe ni boss wako maana wote mmo kwenye forum hii hii.

4. Unatumia nguvu nyingi sana kugombana mpaka mishipa ya shingo inakutoka kisa unapenda uislam, matokeo yake hueleweki.

5. Unapenda sana mambo ya ugomvi, sasa mambo ya vita yanakujaje humu, oooh mara vita baridi, mara vita moto, mbona hueleweki?

Usipende kuongea tu, tenga muda wa kusikiliza wengine pia, ili ujifunze zaidi ya hayo machache unayoyajua.

sasa usianze tena kugombana na mimi, natoka kidogo
asante.
 
UMEMALIZA?
nAKUULIZA WE TWIGA UMEMALIZAAAAAAAAAAAAAAA?? I don ve tym to wast replyng danm person like ya son!!
u gat ne whim postng ma compliment take ya time Ill take mine 2!! NEVER DREAM MIT WTH ME IN YA LIFE 1! ill POST YA TO THE WOUND FORUM
 
mi ntasema kweli daima kama nyie ni waislamu mambo yenu yamalizwe msikitini sio kushabikia vitu mnavyoletewa kwenye jf "nini kasema SAW pale weislamu au mashekh wanapopishana hoja ?" mnaletewa hoja chafu za kuwagawa waislmu wenzenu ili mseme fulani anafaa na fulani hafai mnaanza kwenye jf kuleta misemo na hadith zisizofaa, tumalize mambo yetu msikitini, kwani hilo gazeti la kiislamu? hata kama ni kweli kasema yabidi aambiwe mwenzie kakosea basi kuna njia ya kumkosoa. sasa mnajenga tabaka za ushabiki tu ktk jf. ni lini uliona wasiokua waislamu wameleta mabishano au makosa ya viongozi wao hapa jf ? tieni akili mtume SAW watu wamekojoa msikitini kakaa kimya anasubiri watu waondoke ili amfundishe akiwa peke yake "vp sisi tutumie majukwaa kwa kumsifu huyu na kumponda huyu" kumbukeni kauli ya tauhiiid mnayoshea. ALLAH atuongoze wote mimi na wewe na nimetumia njia hii sababu tu siwezi kukufikia ulipo na sipajui lakini tumfuate mtume kama alivyotufunza ili tumtii mola wetu.
Wewe mwalimu wa madrasa? Haya bwana
 
.
Unafikiri kama mtume hakuwa mwanaharakati wa kutetea haki iliyodhulumiwa ni nani angeambatana nae ktk vita yake ya upanga?
Kumbuka pia kuna watu walikaa kinyume nae kama mufti anavyowatetea wadhulumu haki za msingi za raia.
Elewa pia kwamba dhulma sharti iondolewe kwa mkono wa anaedhulumiwa bila kuangalia gharama.
BIG UP ISTIGAMA SHEIKH'S
.
 
We sjui ndo AVATAR sjui Seniao member mimi siandiki post ili nisomeke na wewe au na wenye IQ ndogo kama yako, ila mshukuru Mungu kwa hako ka IQ cha kutoisoma ana kutoelewa my post...usihofu nitakapo kubadilishia LUGHA na nikanena kwa vitendo na wewe... Akili za wenzio wenye perspection kama yako wanataka wooooooooooote kweye forum nzima tufuate mtazamo mno uitaj wa post na kwenda kinyume mnachukua hatua za kublock account ya aliepinga mawazo yenu.........Sisi kitaalam TUNAFUNDISHWA KUFUTA IDEAR YA MTU NA SI KUFUTA ACCOUNT KAMA INAVYO FANYIKA, huenda ilionekana ni njia ya kuzima kinachosemwa lakin , fahamu kwamba mtu anapo kaa uchi wewe kuziba Macho bado hujamfunika ktk uchi anao onekana nao....! YANGU ILIFUNGWA na ikawachiwa sasa MWAMBIE Boss wako kama nae hatoisoma WALA KUIELEWA POST YANGU Afunge tena Account yangu ila Hatofanikiwa kufunga na kublock vitendo vya msimamo wa post zangu na NGUVU YA MSIMAMO WANGU KTK IIMAN ATAIELEWA PALE ktk battle field wether ya cold war au Ground fghtng rebellion.

NATARAJIBAADA YA POST HII KUFUNGIWA ila yangu yazingatiwe ktk akilli yako!!
UR FREE TO BLOCK MY ACCOUNT right now
Nakutuma we Avatar Mwambie BOss WAKO ANIBLOCK, Mshawish mpaka afanye ivyo haraka iwezekanavyo
Heheheee JF imevamiwa mwaka huu!.....Jamani hebu mumtathimini huyu mtu. Hebu vuta hisia unabishananae mkiwa face to face....si anakupiga kisu huyu?
 
UMEMALIZA?
nAKUULIZA WE TWIGA UMEMALIZAAAAAAAAAAAAAAA?? I don ve tym to wast replyng danm person like ya son!!
u gat ne whim postng ma compliment take ya time Ill take mine 2!! NEVER DREAM MIT WTH ME IN YA LIFE 1! ill POST YA TO THE WOUND FORUM

heh! mara nimekuwa twiga, nadhani wewe sio mtu, ni answering machine iliyopoteza kumbukumbu.
 
NAFURAI KWA KAFIRI KAMA WEWE UNATAMBUA HAKI ZA WAISLAM! Ila real think and rethink advant post ya desipient dictions here!1 the statement translated the word political party y? CHADEMA and Muslim na hapajakua ni haki na madai!! kitaalam wengi hutoka nje ya mada husika na kupost their own whims , deliberately kuwatoa watu waqache kujadili mada na kujadili mawazo yao bt here U ve gone! psychologically hawatoboi hao watu watahama wao ukiwe mo wewe!
Eti Guyton leo anatambua Haki za waislam too late kiajana hata usipo tambua we inaugurated the motabiliity and we are spiritual activist laailalaa hailllallah Muhammad Rasullla
Heheheee jamani!....hawa watu wametokea wapi tena hapa jamvini? Huuwiiiiii nacheka sina mbavu mwenzenu....jamani dini hizi,nyie acheni tu
 
kaka kwani huyo mufti simba hayo maneno kuhusu uvunjifu wa amani aliyaongelea msikitini????/au we mwenzetu huna dhiki kama sisi walalahoi wengine???hebu acha udini katika swala zima la njaa...
 
Back
Top Bottom