C Chwaka JF-Expert Member Joined Jan 18, 2014 Posts 204 Reaction score 49 Jun 27, 2014 #1 Kwa wale walofanya Oral interview Umoja switch pale kijitonyama, vipi kuna mtu kashaitwa kuanza kazi? Maana walituambia majibu ni baada ya wiki 2 pia watatoa taarifa kwa wote kama umepata au umekosa but naona kimya.
Kwa wale walofanya Oral interview Umoja switch pale kijitonyama, vipi kuna mtu kashaitwa kuanza kazi? Maana walituambia majibu ni baada ya wiki 2 pia watatoa taarifa kwa wote kama umepata au umekosa but naona kimya.