Kampuni ya umojaphone haikuwa nyuma katika mkutano wa DICOTA - Washington DC. Umoja Phone uliwawezesha watanzani kupiga simu nyumbani kwa bei poa kabisa..
Si ungeijibu hapo hapo (ktk thread husika) sasa Afrodenzi....mbona wewe ni mtaalam sana wa kupost thread....
Nimesema hivyo kwa sababu ambaye hajaiona atakubaliana nami kuwa vitu haviendani... Au ungetoa maelezo kwenye thread yako kuwa una prove wrong to someone na copy ya thread ukaiweka...
Sio ya waKenya so??? nani alisema ni mali ya Kenya (lete Link tafadhali). Ungesema sio ya wkenya ni yako binafsi ingekuwa jambo lingine, lakini kumbe mwenyewe hata humjui, wataka kuanza kumtafuta. Ujamaa bana, khe!