Ummy ni bora ungeuliza Mzee kibao yuko wapi?

Ummy ni bora ungeuliza Mzee kibao yuko wapi?

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
9,268
Reaction score
13,895
Hao hao CCM wanaokupa madaraka wanajiuliza mpiga kura wako Mzee kibao ambaye alipotea na wewe ukanyamaza. Sasa leo hii unategemea watakuamini vipi. Binadamu wanaogopa watu ambao wanafanya kila kitu hata kuficha hisia zao kwasababu ya kupata cheo

Mifano IGP Mangu alikataa kumpeleleza bila kufuata sheria Lissu mpaka akajiuzulu. Asingeweza kukubali hasa mtu kama Lissu wametoka jamii moja

Nyalandu naye aliacha mpaka ubunge. Sasa Ummy wewe ni uchawa tu kila siku. Lini utakuwa mwenyewe! Achana na unafiki!

Mangu leo ni mwenyekiti wa TPA na yupo na msimamo wake bado
 
Habari haijitoshelezi!
Hao hao wanaokupa madaraka wanajiuliza. Mzee kibao ambaye wewe ni mbunge wake ulinyamaza kwa mazingira yale sasa wenyewe watakuamini vipi?

Nakumbuka IGP Mangu alikataa kumpeleleza bila kufuata sheria Lissu akijiuliza huyu mtu tumetokea jamii moja wote .

Huyu mtu ni wakili kama mimi sasa ingewezekana kabisa nikawa sehemu aliyopo kama nisingeingia Polisi. Siweze kwenda kinyume na kiapo changu tena kwa ndugu yangu!!.

Nyalandu naye aliacha mpaka ubunge. Sasa Ummy wewe ni uchawa tu kila siku. Lini utakuwa mwenyewe! Achana na unafiki!

Mangu leo ni mwenyekiti wa TPA na yupo na msimamo wake bado
Habari haijitoshelezi!
 
Ila ametusadia bila yeye nani angejua kuwa bimkubwa anakunywa K Vant na kuvuta skanka?
 
Sema Ummy ni mzuri ngoja nitamfute sometimes Wanawake wa aina ya Ummy wanakosa wanaume wenye msimamo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom