DuaZaMama
JF-Expert Member
- Jun 2, 2025
- 1,882
- 4,129
Mbunge wa Tanga Mjini Ummy Mwalimu Ummy Mwalimu amechukua fomu leo June 30,2025 ya kuomba kutetea Ubunge katika Jimbo la Tanga Mjini.
Ummy ambaye aliwahi kuwa Waziri wa Afya amechukua fomu hiyo katika Ofisi ya CCM Wilaya ya Tanga na amekabidhiwa fomu hiyo na Katibu wa CCM Wilaya ya Tanga, Jamal Khimji.
Zoezi la uchukuaji fomu katika ofisi za Chama Cha Mapinduzi (CCM) linaendelea nchi nzima ambapo watia nia tofauti wameendelea kujitokeza kwa ajili ya kuchukua fomu za Ubunge na Udiwani.