Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 2,436
- 5,234
Aliyekuwa Mbunge wa Tanga Mjini Ummy Mwalimu Ummy ametupwa nje na chama chake cha CCM kugombea kwa awamu nyingine jimbo la Tanga Mjini na nafasi yake imechukulia na Kassim Baraka
Wanagombania mabwana inasemekana.sjui alimfanyeje bi mkubwa wa kizimkazi
hata kina ole pinda kama hawajasikikasijasikia Fred Lowassa naye au nimepitwa
Pinda na ole walikula za usohata kina ole pinda kama hawajasikika
Bi mdashi anataka wavaa mashuka ili akipitisha mambo yake iwe kama kusukuma mlevisjui alimfanyeje bi mkubwa wa kizimkazi
hatari sanaPinda na ole walikula za uso
Hilo limama halina tofauti na jiwe kabisaBi mdashi anataka wavaa mashuka ili akipitisha mambo yake iwe kama kusukuma mlevi
Hajapitishwasijasikia Fred Lowassa naye au nimepitwa
Samia The Killer ni mtu wa visasi sana!Aliyekuwa Mbunge wa Tanga Mjini Ummy Mwalimu Ummy ametupwa nje na chama chake cha CCM kugombea kwa awamu nyingine jimbo la Tanga Mjini na nafasi yake imechukulia na Kassim Baraka
Rais huwa hakosei.Hilo limama halina tofauti na jiwe kabisa
Amekalia kuti kavusijasikia Fred Lowassa naye au nimepitwa
Yaani watu wazima vile hamu ya kugegedana bado ipo. Acha uongo mkuuWanagombania mabwana inasemekana.
Inasemekana katemwa naye.sijasikia Fred Lowassa naye au nimepitwa
Masikini Odo, mwenyekiti wa Ccm kamtosa.Aliyekuwa Mbunge wa Tanga Mjini Ummy Mwalimu Ummy ametupwa nje na chama chake cha CCM kugombea kwa awamu nyingine jimbo la Tanga Mjini na nafasi yake imechukulia na Kassim Baraka
Huyo hawezi Kupita walichofanya kwenye msiba wa baba yao kumnyima airtime kabisa Mkwere kimeanza kuwalambasijasikia Fred Lowassa naye au nimepitwa