Umitashumita

Umitashumita

Makiad

Member
Joined
Mar 11, 2013
Posts
8
Reaction score
1
Pamoja na serikali kurudisha michezo mashuleni bado hakuna fedha za kuendesha michezo hiyo inayotumwa mashuleni,ngazi ya kata na ngazi ya tarafa.Je tutafika
 
Pamoja na serikali kurudisha michezo mashuleni bado hakuna fedha za kuendesha michezo hiyo inayotumwa mashuleni,ngazi ya kata na ngazi ya tarafa.Je tutafika

Kufika wapi mkuu..!?? hatuna dira ya michezo. Pesa iliyobaki tumeibajetia mazishi ya waheshimiwa "walioweka nia ya kufa"
 
Back
Top Bottom