kimweri Jr
Senior Member
- Jun 9, 2012
- 131
- 42
Wadau tangu wiki mbili zimepita nimeshuhudia vipaji vizuri sana kutoka kwa wanafunzi wa secondary zetu Tanzania, kiukweli kama vijana hawa wataendelezwa watafila mbali sana kimichezo. Binafsi niwapongeze kanda ya mashariki(pwani na moro) kwa kuwa bingwa wa soka 2013 kwa kuifunga zanzibar bao 1, pili biwapongeze dsm kwa kuwa kanda bingwa 2013. Swali langu ni je, ni nini hatma ya vijana hawa mara baada ya mashindano haya? Viongozi mlioko humu nipeni majibu mpiga kura wenu.