Kwanza nashukuru sana kwa kufuata ushauri wangu wa kupambana na CCM moto kwa moto kwa kuleta wajumbe wa ziada wa UKAWA kutoka zanzibar badala ya kuendelea kulalamika dhidi ya Uhuni wa CCM.
CCM imekubali uchaguzi siyo bila vituko lakini haitakwenda chini bila ya mapambano na mjiandae na mambo mawili nayo ni 1: Mkurugenzi kuitisha mkutano wa uchaguzi kwa hati ya dharura{ARUSHA STYLE}
2: CCM kununua madiwani wa UKAWA kujazia ushindi wake
Namna ya kukabiliana nao
1: Chukueni tahadhari kubwa kwa kuweka minders karibu na jengo la uchaguzi kuhakikisha hakuna uchaguzi wowote unachofanyika bila taarifa kamili ili kucheza na akidi
2: ili kukabiliana na suala la pili ni lazima mkatae kura za siri ili kuweza kuwaumbua wale wasaliti, lazima kikao kisimamie kura ya wazi ndio njia pekee ya kukabiliana na wasaliti.