Umewezaje kudate na mwanamke Nurse?

Umewezaje kudate na mwanamke Nurse?

kaka nina demu kama huyu hajawai kusex uume ukaingia na ni nurse pia huyo wako anafany kazi hospital gani? usikute tunashare
sema uume uliiingia mzee nliforce ikafaaa ila nimekutext PM Ukute ndo huyohuyo
 
Inaendelea


Akaniambiwa Kipindi Yupo Chuo kuna Jamaa mmoja alikuwa anamhudumia Mpaka kumlipia Kodi , Nakumlipia Ada


Sasa kumbe yule jamaaa alipeleka mahari kwa binti na alikuwa anamhudumia Binti Akitarajia kuwa Atamuoa binti


Binti akaniambia jamaa alikuwa anamhudumia then wanaishia kuwasiliana kwa simu walikuwa hawajaonana , Sasa baada ya muda kwenda Na binti kumaliza Si ndio Kipindi Ambacho mimi nkaanza nae mahusiano , sasa jamaa akaja home kwa binti Ndo hapo wakaonana Sasa binti anasema akashindwa Kumpenda jamaa Ikabidi Binti akatae Ndoa na Msela Huku jamaa alishalipa nusu ya mahari maana binti anasema walikubaliana Kabisa na jamaa kama hatamridhia basi wataachana


Kumbe jamaa akuridhika akamtumia Manzi dada zake kuleta fujo binti anapofanyia kazi lakini siunajua Kunakuwaga na shift Akawa anapishana na wanaotaka kumfanyia fujo Sjui walikuwa na Viwembe , basi ile hali ikamfanya manzi akawa na mawazo , mwisho wa siku nikamwambia awaambie walinzi wa hyo hospital maana ni moja ya hospital kubwa hapa Dar lile suala likawa solved Hawakurudi tena maisha yakaendelea


Hichi kisa ni kabla ya kile cha Mwanzo


Hvyo Basi Huyu binti amekataa wanaume wawili sababu yangu ambao wote walipeleka Posa kwao


Sasa Tabia ya binti Ambayo kwa kwel nimeshazoea ni kwamba Nimuoga sana Hvyo simu hapokei kabisa yani ananiogopa balaa , SMS anajibu shwari na anamapenzi lakini hayupo Romantic sana

Uzuri huyu binti mimi na yeye tumeendana sana maana ni wale watu tunapenda Vibe na Tabia zakucheka Kuweka memes na vitu vingine


Niseme kuwa toka nafahamu wanawake Huyu ni mwanamke wa pekee kabisa kuwa nae kwenye mahusiano yani Haombi pesa , hana tamaa , Ni pisi kali sana , anajitambua sana


Ila Ndo hvyo akiwa kwenye changamoto ni mgumu sana ila Pia sio mtu wa mitandao sana muda mwingi Yupo busy na kazi akipata kamuda chakujibana Tutachat kwa whatsaapp
.

Kwa kwel huyu binti Nataka Nimpe mimba kabisa Kama sio mwaka huu Nimpe mwakani nikiwa intern Maana Ni Complete set ya Mwanamke wa ndoto Halafu ni mzuri jaman.

Swali langu

je ni kwamba ilivyokuwa Uume haupiti na nlikuwa nmemuandaa ni kwamba alikuwa bikra au vp maana damu haijatoka

Sio mtu wa mtandao kwahyo Siongei nae sana maana anakuwa hospital na Anapenda kuficha changamoto zake nimekuwa namwambia abadilike Lakin amekuwa mgumu

Je nawezaje kumvumilia nurse?








View attachment 2743608View attachment 2743610
Ilivokua haipiti haina maana kua ni bikra, huyo alishazinduliwa sema baada ya uzinduzi hakutumika sana ,ndo maana ukawa unaona km haipiti...


Sema lingine usijiamini sana kwamba ataendelea kubaki hvo hvo coz wanawake ni wana tabia ya tembo

Wote tunafaham kuwa tembo huwa hawasahau njia yao siku zote hata km imepita miaka kadhaa ,hivo hvo wanawake nao wana tabia ya kutosahau fadhila hata km ulimfanyia huo wema siku nyingi sana

Point yangu ni kuwa hao wanaume wawili waliokwisha kutoa posa ,hasa huyo ambaye kipindi yuko chuo alikua ana muhudumia hadi kodi ana posibility kubwa ya kuja kumla.huyo demu,
 
Yan Sasa huyu binti ni wale ambao Unavyompost ndo unamlainisha yani anapenda kinoma, siunajua wanawake wanatofautiana Sasa huyu hadi ilifika sehemu anascreenshot anabishana na Rafk yake kuwa nimemuweka DP Kuwa na mpenda Sana , sasa huyo rafk yake ni wakiume akawa anamwambia usidanganywe ila manzi akawa anaendelea kusisitiza kuwa mwaka huu amependwa, mpaka kuja getto sababu ndo hizo kuwa nimemteka kitofauti.
Utoto raha sana.
 
Wee jamaa mapenzi hujui chuo nako sijui ulifikaje? Yan kichwani mwako hakuna kitu hata kamasi la kudanganyia hamna.
 
nimeshawahi kula pisi kali maana ndo haina ya wanawake ninaowapenda ,ila niliowahi kuachana nao ni wale hawajitambui mara sjui wanakaaa uchi ovyo na wenye mambo Mengi ,

Ni kwel anapresha ya ndoa lakini Ametulia Alisema mwakani Tu anasubria Nimuoe lakin tutaanza na mtoto, sio kwamba naamini sana wanawake Hapana Maana nimesoma stori kibao Huku jamii forum kule MMU Ila nathamini yeye kunipenda bila kutaka nimgaramikie .
Huko kupagawa kwako unakoonesha hapa nadhani ni mara 2 kwa unavyomuonesha yeye.

Dem ambaye anataka ndoa leo kesho, ikifika hiyo siku umeahidi ndoa na hujamuoa jua sio wako tena, ikifika siku umeoa na life halieleweki si kama alivyotegemea basi pia tegemea vitimbi

Huu mwenendo wako kijana sio mzuri, tafuta mtu asie na presha ya ndoa. Nyie wote mna presha. Huyu ya ndoa wewe ya uzuri wake na kutaka kummliki.
 
Pole sana kijana,unaendeshwa na hisia
Ushauri wangu achana na mawazo ya kumpa mimba,mnawatesa watoto kwa ujinga wenu
We pia upo kipindi cha balehe kwa hiyo bado hujajua nini unataka

Sent from my HUAWEI MLA-AL10 using JamiiForums mobile app
 
Kiufupi Manesi wengi huwa wana bahati mbaya ya kuzalishwa na kuachwa wanalea wenyewe watoto wao.

Ni wachache wanaobahatika kuolewa. Hata walioolewa ni wale waliochumbiwa na Madaktari wenzao
 
"Uzuri huyu binti mimi na yeye tumeendana sana maana ni wale watu tunapenda vibe na tabia za kucheka kuweka "MEMES"

Kwenye uzi wako woote nimepafurahia hapo Anyways muoe tu maana ni miongoni mwa wanawake adimu kuwapata kwa kipindi hiki cha vitoto vya farao MUOE usimtie mimba kabla hujamuoa mimba inaweza badilisha lengo narudia tena ushauri wangu

MUOE
 
"Uzuri huyu binti mimi na yeye tumeendana sana maana ni wale watu tunapenda vibe na tabia za kucheka kuweka "MEMES" 😀

Kwenye uzi wako woote nimepafurahia hapo Anyways muoe tu maana ni miongoni mwa wanawake adimu kuwapata kwa kipindi hiki cha vitoto vya farao MUOE usimtie mimba kabla hujamuoa mimba inaweza badilisha lengo narudia tena ushauri wangu

MUOE
 
sizani kama ni mdogo kiivyo ,sasa hivi mbona ni kawaida kuoa mtu akiwa internship, Nashindwaje kuweka mwanamke ndani wakati napokea 1M ya intern Kwa Mwaka mzima na nina mishe kibao zinazonipa hela ,mimi naona ni uwoga wa watu wachache ,kwa hapa naposoma watu wengi wanafanya hivyo ili waanza kufocus ja maisha
Hiyo one mil ni mwaka mmoja tu baada ya hapo utasota mitaani wacha ujinga, tafuta hela.

Kwanza unaoaje demu aliyekuzidi umri.
 
Maisha yamebadilika mkuu masuala yakuoa binti Mdogo mimi sitakuja kufanya , mwisho nizeeke nipigiwe bure hapana , Huyu akipata matunzo hatazeeka mapema ni pesa tu.
Mwanamke lazima umzidi umri, kwasababu ataanza kuzeeka yeye kabla yako. Mkilingana akianza yeye kuzeeka, utakuwa unatamani vibinti vibichi vibichi huko nje, ukimzidi miaka 5-10 ndo utazeeka naye pamoja.

Ndomaana wanakushauri usome kwanza maana bado mdogo, yaani hata hoja zako zinaonyesha hujakua kabisa.
 
Mtazamo wangu kuna upande wanakusupport umuoe lengo likiwa usifanye uzinifu na kumuharibia maisha huyo binti
Upande mwingine nimekaa nikajaribu kutaka kukushauri mwanamke mnaependana lazima kuwe na mutual relationship sasa kama anakuficha sahivi mamboo madogo vipi kwenye ndoa kwenye mambo makubwa take time kumsoma zaidi

Pia mwanamke aliekuzidi umri si mzuri (upande wangu) maana wao hukuwa haraka na kuzeeka mapema sasa wote mkizeeka nan wakufanya kazi nyumbani..... think twice
Piah ndugu yangu mwanaume anatakiwa kuwa aggressive na mwanamke awe submissive (mtiifu) swala la kukuficha baadhi ya mambo yake muhimu linanipa ukakasi juu ya upendo wake kwako mbona kama ww ndoo umezama zaidi kwake ....
Mwisho nasisitiza Fanya utafiti zaidi juu ya huyo demu na jitafute huna maisha bado you need to fight hard to lead the family
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom