Umewezaje kudate na mwanamke Nurse?

Umewezaje kudate na mwanamke Nurse?

Oya mkuu hongera kwa kupata pisi Kali tamu alafu isiyo na tamaa Bali yenye kuridhika.

Mjali sana huyo manzi ukifeli kwa huyo nakuahidi utopata mwngn km huyo maana kwa Karne hii pisi za Aina hyo ni nadra sn kuzipata.

Wahi mpige mimba akuzalie kbl wahuni hatujaja hapo kukupiku kiongoz, narudia tn kukupongeza hongera
ushauri mzuri sanaa ,thank you boss
maana binti ametulia sana kwa kwel yaani najua nikifanya uzembe nikampoteza watamuoa
 
Kijana soma umalize shule. Bado mdogo sana
sizani kama ni mdogo kiivyo ,sasa hivi mbona ni kawaida kuoa mtu akiwa internship, Nashindwaje kuweka mwanamke ndani wakati napokea 1M ya intern Kwa Mwaka mzima na nina mishe kibao zinazonipa hela ,mimi naona ni uwoga wa watu wachache ,kwa hapa naposoma watu wengi wanafanya hivyo ili waanza kufocus ja maisha
 
Dogo umepagawa!! Pole sana.

Hujawahi kula pisi kali?, wengi mnakuaga na wenge sana, mnafanya vitu mpaka dem mwenyewe anashangaa huyu mwamba vipi mbona too much.

Tuliza akili hiyo la sivyo siku si nyingi utaleta uzi kua dem wako kaolewa.

Umesema upo chuo, focus na masomo yako uje mtaani vizuri. Huyo dem atakufanya uanze life la mtaa kiboya. Muda huo uliopo sasa sio wa kufocus na mapenzi hasa kua na mahusiano na mwanamke ambaye yupo kwenye presha ya ndoa.

Atawakataa ila hatowakataa wote.
nimeshawahi kula pisi kali maana ndo haina ya wanawake ninaowapenda ,ila niliowahi kuachana nao ni wale hawajitambui mara sjui wanakaaa uchi ovyo na wenye mambo Mengi ,

Ni kwel anapresha ya ndoa lakini Ametulia Alisema mwakani Tu anasubria Nimuoe lakin tutaanza na mtoto, sio kwamba naamini sana wanawake Hapana Maana nimesoma stori kibao Huku jamii forum kule MMU Ila nathamini yeye kunipenda bila kutaka nimgaramikie .
 
Huwez kuamini lakin Binti anataka kufanana na hao yani ni pisi Sana Mpaka Nawaza Mnoo, japo Mtoto ananielewa sana mpaka Sasa anawaza Tuzae nae

anashape kali pia amejaza vizur lakin Ananywele za Watu watanga sio zakizungu.

Kwa kwel simcheat Kabisa Nimetulia mazima
Kwa maandishi tu unaonekana bado mdogo. Kwa hiyo kuna mawili tumaweza sema ukweli ukatuona wazushi au hatuna tulijualo kwa sababu umeshazuzuka hujapenda. Au umependa kweli ila unakoelekea utashikwa pabaya ukose pa kuchomokea uanze kulia kwa sababu naye ana nafasi ya kukutana na wa zaidi yako. Sasa sijui ungependa kusikia lipi
 
Basi fanya hivi.

Kuanzia sasa usimpe attention. Yaani usimtexf Wala kupiga simu, endelea na shughuli zako kama masomo , akikutumja text usijibu hapohapo, kausha mpaka akutumie mara nyingi ndo umjibu. Jifunze kuwa rare, yaani usipatikane muda wote maana demu ashakuona anaweza kukupelekesha.
Yan Sasa huyu binti ni wale ambao Unavyompost ndo unamlainisha yani anapenda kinoma, siunajua wanawake wanatofautiana Sasa huyu hadi ilifika sehemu anascreenshot anabishana na Rafk yake kuwa nimemuweka DP Kuwa na mpenda Sana , sasa huyo rafk yake ni wakiume akawa anamwambia usidanganywe ila manzi akawa anaendelea kusisitiza kuwa mwaka huu amependwa, mpaka kuja getto sababu ndo hizo kuwa nimemteka kitofauti.
 
nimeshawahi kula pisi kali maana ndo haina ya wanawake ninaowapenda ,ila niliowahi kuachana nao ni wale hawajitambui mara sjui wanakaaa uchi ovyo na wenye mambo Mengi ,

Ni kwel anapresha ya ndoa lakini Ametulia Alisema mwakani Tu anasubria Nimuoe lakin tutaanza na mtoto, sio kwamba naamini sana wanawake Hapana Maana nimesoma stori kibao Huku jamii forum kule MMU Ila nathamini yeye kunipenda bila kutaka nimgaramikie .
Kwanini muanze na mtoto? Then ndoa ndio ifuate, kwa haya ayaseme yeye? Dhumuni lake ni nini?

Yachambue haya kwa kina kabla hujamuhukumu
 
Kwa maandishi tu unaonekana bado mdogo. Kwa hiyo kuna mawili tumaweza sema ukweli ukatuona wazushi au hatuna tulijualo kwa sababu umeshazuzuka hujapenda. Au umependa kweli ila unakoelekea utashikwa pabaya ukose pa kuchomokea uanze kulia kwa sababu naye ana nafasi ya kukutana na wa zaidi yako. Sasa sijui ungependa kusikia lipi
yes sasa si nimesema ni mwanafunzi ahahahah Nina 23 years nipo Chuo mwaka wa nne na JF nipo toka 2018 nikiwa Form 5
 
Yan Sasa huyu binti ni wale ambao Unavyompost ndo unamlainisha yani anapenda kinoma, siunajua wanawake wanatofautiana Sasa huyu hadi ilifika sehemu anascreenshot anabishana na Rafk yake kuwa nimemuweka DP Kuwa na mpenda Sana , sasa huyo rafk yake ni wakiume akawa anamwambia usidanganywe ila manzi akawa anaendelea kusisitiza kuwa mwaka huu amependwa, mpaka kuja getto sababu ndo hizo kuwa nimemteka kitofauti.
🤣🤣🤣 mdogo wangu sio kwa ubaya ila huu ni utoto. Kama una nia kweli muoe usimuumize
 
Kila la heri, ushauri mmoja kutoka kwa veteran, balance shobo ata kama umemuelewa vp mfanye awe na shauku ya kukutafuta zaidi mana unasema most times hadi uanze wewe basi! na usipost pics zake banaa.

Kama daily we ndo unaanza kumtafuta then mayb hajakupenda kama ulivojiaminisha ila still una chance cheza kama wewe!
akiamka Alikuwaga na Tabia Yakukaa kimya Toka Zamani sababu ndo Tabia yake halisi, Nikamrekebisha kuwa anatakiwa akiamka atoe salama So ikawa Hvyo kila akiamka asubuhi atauliza nashindaje hivyo yan lakini pia kama nlivyosema binti sio mtu wa mitandao sana muda mwingi yupo Kazini maana ni nurse , akiwa online ni lazima ajibu message zangu Ata kama akichelewa utakuta anaangalia status zangu then atajibu .
 
Huwez kuamini Nilimkuta Sjui tuseme hajatumika au sjui nielezeejee , Maana Kwanza Uume wangu ulikuwa Unashindwa kupita Kabisa , Ikapelekea Kuchana Condom zaid ya 6
 
Akili yangu inaniambia ww ni mgeni kwenye mapenzi!

Anyway yawezekana kwel huyo demu kakupenda au kashakusoma ww mgeni idarani kaaamua kukufanyia manipulation!

Ushauri
Extend mda wa kudate nae piga hata miaka miwili mitatu utajua mengi kwa saivi ni ngumu kujua mengi maana umesema ndo kwanza mna miezi minne
Hapana sio mgeni kiivyo, Nishafanya mapenz na zaid ya Wanawake 10 kwakutumia kinga Maana najali afya yangu Sana
 
Inaendelea


Akaniambiwa Kipindi Yupo Chuo kuna Jamaa mmoja alikuwa anamhudumia Mpaka kumlipia Kodi , Nakumlipia Ada


Sasa kumbe yule jamaaa alipeleka mahari kwa binti na alikuwa anamhudumia Binti Akitarajia kuwa Atamuoa binti


Binti akaniambia jamaa alikuwa anamhudumia then wanaishia kuwasiliana kwa simu walikuwa hawajaonana , Sasa baada ya muda kwenda Na binti kumaliza Si ndio Kipindi Ambacho mimi nkaanza nae mahusiano , sasa jamaa akaja home kwa binti Ndo hapo wakaonana Sasa binti anasema akashindwa Kumpenda jamaa Ikabidi Binti akatae Ndoa na Msela Huku jamaa alishalipa nusu ya mahari maana binti anasema walikubaliana Kabisa na jamaa kama hatamridhia basi wataachana


Kumbe jamaa akuridhika akamtumia Manzi dada zake kuleta fujo binti anapofanyia kazi lakini siunajua Kunakuwaga na shift Akawa anapishana na wanaotaka kumfanyia fujo Sjui walikuwa na Viwembe , basi ile hali ikamfanya manzi akawa na mawazo , mwisho wa siku nikamwambia awaambie walinzi wa hyo hospital maana ni moja ya hospital kubwa hapa Dar lile suala likawa solved Hawakurudi tena maisha yakaendelea


Hichi kisa ni kabla ya kile cha Mwanzo


Hvyo Basi Huyu binti amekataa wanaume wawili sababu yangu ambao wote walipeleka Posa kwao


Sasa Tabia ya binti Ambayo kwa kwel nimeshazoea ni kwamba Nimuoga sana Hvyo simu hapokei kabisa yani ananiogopa balaa , SMS anajibu shwari na anamapenzi lakini hayupo Romantic sana

Uzuri huyu binti mimi na yeye tumeendana sana maana ni wale watu tunapenda Vibe na Tabia zakucheka Kuweka memes na vitu vingine


Niseme kuwa toka nafahamu wanawake Huyu ni mwanamke wa pekee kabisa kuwa nae kwenye mahusiano yani Haombi pesa , hana tamaa , Ni pisi kali sana , anajitambua sana


Ila Ndo hvyo akiwa kwenye changamoto ni mgumu sana ila Pia sio mtu wa mitandao sana muda mwingi Yupo busy na kazi akipata kamuda chakujibana Tutachat kwa whatsaapp
.

Kwa kwel huyu binti Nataka Nimpe mimba kabisa Kama sio mwaka huu Nimpe mwakani nikiwa intern Maana Ni Complete set ya Mwanamke wa ndoto Halafu ni mzuri jaman.

Swali langu

je ni kwamba ilivyokuwa Uume haupiti na nlikuwa nmemuandaa ni kwamba alikuwa bikra au vp maana damu haijatoka

Sio mtu wa mtandao kwahyo Siongei nae sana maana anakuwa hospital na Anapenda kuficha changamoto zake nimekuwa namwambia abadilike Lakin amekuwa mgumu

Je nawezaje kumvumilia nurse?








View attachment 2743608View attachment 2743610
Kwa picha hizo ni KAMBA
 
Umesema anakuzi umri?

NI UTOTO TU UKIKUA UTAACHA
sizani kama Umri wa mwaka mmoja ni Tatizo , maana Nipo elimu ya Juu yake halafu mimi ndo nacontrol mahusiano Nikimwambia kitu anafanya

Sjawahi kuona Tabu kwenye umri ,Priyankachopra amemzidi Nick Jonas miaka kumi nazani lakin wamezaa fresh na wameshibana na kuoana.
 
Mkuu, nimesoma bandiko lako kwa ufupi sijaweza kumaliza kurasa zote, nimeelewa kwa uchache niliyo yasoma.

naomba nikushauri lakini ushauri wangu hauna dhamana kwa maana binadamu hatufanani tabia.

mwanamke hubadilika kutokana na mazingira, Mara zote huwa hivyo, Cha msingi ni kutumia maarifa yako kuishi na huyo mwanamke. Uuguzi ni cheo tu Wala usiogope ya kwamba atakuwa mhuni.

kila kitu kinaenda na wakati na kiasi Jenga umakini kwenye kila hatua unayo pitia.

TRUST NO BODY IN YOUR LIFE.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom