Binti1
JF-Expert Member
- Jul 8, 2013
- 668
- 1,764
[h=5]Umewah ona familia kama hii...?
1:Eti Mtu ana sura mbaya mpaka akijiangalia kwenye kioo kinaandika Please wait...
2😀ada zake ni wabaya hadi wameweka tangazo getini eti oa mmoja upate wawili bure.
3:Mtu ni mweusi hadi ukibeba mtoto anasinzia akizani giza limeingia
4:Kwao wako wengi hadi mtoto wa mwisho anaitwa etc.
5😀amu zao ni tamu mpaka mbu huja na vitafunio kama chapat hivi
6:Kwao ni wengi mpaka babayao akiingia anasema 'hamjambo wananchi'
7:Kwao kuchafu mpaka inzi na mende huvaa kandambili.
[/h]