Hamna vifungo vibaya kama vifungo vya nafsi. Wengi wamo kwenye vifungo vya nafsi, hilo jela mpaka uje ujikomboe ni mpaka kwa nguvu nyingi ya juu zaidi.
Tatizo pigo zake sikujua kama wakusoma si unajua huku town mzee baba mtoto akipita kitaaa amenona kumbe wa kiskuli mzee kuja kujua it's too late msala umeshapiga hodi.