ππππππMkwe...
Wewe itisha glass yako ya wine! Waache wagombane mwisho waatamua iweje..
Alafu wape muda! Rafiki yako atabaki kuwa rafiki yako bila kujali udhaifu wako...
Yote uliyokaa kimya ni nia ya kujenga..! Ko na sasa hivi kaa kimya muda utaamua .
Ukijifanya unataka favour uside na mmoja kuomba msamaha inakula kwako.
Ulistahili kubakwa kabisa na kupigwa mapachaNi hivi, nina marafiki wawili wa kiume na wa kike. Wote ni marafiki zangu na nimefahamiana nao kwa vipindi tofauti. Wa kike naomba nimuile Lulu na wa kiume Frank.
Kutokana na kuwa nao karibu niligundua wana vitu vingi wanavyoshabihiana, hivyo kwa namna moja au nyingine nilihusika kwa wao kuwa wapenzi.
After a while niligundua Lulu anamcheat Frank as alikuwa na mahusiano na mwanaume mwingine. Nilipomuuliza aliniambia niuchune na Frank akijua atajua ni mimi nimemwambia. Japo nilijaribu kumsisitiza kuwa ipo siku atajua tu sio lazima mimi kumwambia.
Kweli za mwizi 40, Frank akagundua na ugomvi ulikuwa mkubwa sana. Taabu ikaja Frank ananilaumu kuwa lazima nilijua na sikumwambia hivyo ananiona rafiki nisiefaa. Upande wa Lulu anakazana kuwa mimi ndio nimemwambia Frank na shutuma nyingine nyingi tu.
Sasa kila upande unaniona mbaya wake[emoji1745][emoji1745][emoji1745][emoji1745][emoji1745]
Umewahi kukutwa na situation ya hivi? Ulifanya nini?
Kesu ndogo Sana hii kwa muelewaNi hivi, nina marafiki wawili wa kiume na wa kike. Wote ni marafiki zangu na nimefahamiana nao kwa vipindi tofauti. Wa kike naomba nimuile Lulu na wa kiume Frank.
Kutokana na kuwa nao karibu niligundua wana vitu vingi wanavyoshabihiana, hivyo kwa namna moja au nyingine nilihusika kwa wao kuwa wapenzi.
After a while niligundua Lulu anamcheat Frank as alikuwa na mahusiano na mwanaume mwingine. Nilipomuuliza aliniambia niuchune na Frank akijua atajua ni mimi nimemwambia. Japo nilijaribu kumsisitiza kuwa ipo siku atajua tu sio lazima mimi kumwambia.
Kweli za mwizi 40, Frank akagundua na ugomvi ulikuwa mkubwa sana. Taabu ikaja Frank ananilaumu kuwa lazima nilijua na sikumwambia hivyo ananiona rafiki nisiefaa. Upande wa Lulu anakazana kuwa mimi ndio nimemwambia Frank na shutuma nyingine nyingi tu.
Sasa kila upande unaniona mbaya wake[emoji1745][emoji1745][emoji1745][emoji1745][emoji1745]
Umewahi kukutwa na situation ya hivi? Ulifanya nini?
Kumbe unavifurushi namna hii!!..ππNi hivi, nina marafiki wawili wa kiume na wa kike. Wote ni marafiki zangu na nimefahamiana nao kwa vipindi tofauti. Wa kike naomba nimuile Lulu na wa kiume Frank.
Kutokana na kuwa nao karibu niligundua wana vitu vingi wanavyoshabihiana, hivyo kwa namna moja au nyingine nilihusika kwa wao kuwa wapenzi.
After a while niligundua Lulu anamcheat Frank as alikuwa na mahusiano na mwanaume mwingine. Nilipomuuliza aliniambia niuchune na Frank akijua atajua ni mimi nimemwambia. Japo nilijaribu kumsisitiza kuwa ipo siku atajua tu sio lazima mimi kumwambia.
Kweli za mwizi 40, Frank akagundua na ugomvi ulikuwa mkubwa sana. Taabu ikaja Frank ananilaumu kuwa lazima nilijua na sikumwambia hivyo ananiona rafiki nisiefaa. Upande wa Lulu anakazana kuwa mimi ndio nimemwambia Frank na shutuma nyingine nyingi tu.
Sasa kila upande unaniona mbaya wake[emoji1745][emoji1745][emoji1745][emoji1745][emoji1745]
Umewahi kukutwa na situation ya hivi? Ulifanya nini?
Unalalamika nini?si ulikubali kuwanafiki?acha ulaimiweNi hivi, nina marafiki wawili wa kiume na wa kike. Wote ni marafiki zangu na nimefahamiana nao kwa vipindi tofauti. Wa kike naomba nimuile Lulu na wa kiume Frank.