Kama umewahi kutumia sarafu hizi basi ni jambo la kumshukuru Mungu kwani kama hakuna tatizo kama ni Mwanaume sasa hivi wewe ni Baba na kama ni Mwanamke sasa hivi wewe ni Mama, Hongera!!
Kama umewahi kutumia sarafu hizi basi ni jambo la kumshukuru Mungu kwani kama hakuna tatizo kama ni Mwanaume sasa hivi wewe ni Baba na kama ni Mwanamke sasa hivi wewe ni Mama, Hongera!!
Hizi kwetu ziliitwa 'Kyapa'
Hizi zikirudishwa ata mimi nitaweza kuzifoji, maana ni kutoboa chuma katikati na kuweka maua!Hizi kwetu ziliitwa 'Kyapa'
Wakati nilikuwa ninazitumia hizi pesa zilikuwa na thamani kubwa sio hivi sasa pesa ya Ki-Tanzania kama ni makaratasi ya magazeti pesa ya Ki-Tanzania haina thamani pesa ya machungwa mimi ninaiita hivyo. mkuu kakuruviKama umewahi kutumia sarafu hizi basi ni jambo la kumshukuru Mungu kwani kama hakuna tatizo kama ni Mwanaume sasa hivi wewe ni Baba na kama ni Mwanamke sasa hivi wewe ni Mama, Hongera!!
hadi leo kuna watu bado wanawafunga watoto wadogo mikononi na shingoni, sijui ni kinga ama sijui ni kuwatisha watu, ah wanajua wenyeweNilikuwa nazifunga shingoni kisha nawatishia wababe wa mtaa kuwa wakinizingua ntawaroga