Oscar Lyrics
JF-Expert Member
- Oct 8, 2022
- 2,732
- 4,651
Umasikini ni kitu kibaya sana,
-Utadharauliwa
-Utasimangwa hata na watu wako wa karibu
-Utaaibishwa na kudhihakiwa
-Hakuna atakaekujali kwa sababu huna kitu
-Kwenye vikao vya ukoo huwezi kuwa na sauti, ukiongea utaonekana unataka kuleta fujo
In short ndugu zanguni tutafute pesa kama vile tumezipoteza, ipo siku milango ya baraka itafunguka na heshima yako itarejea kama kawaida.
Nb. Mungu ni wetu sote.