Mkuu ichi kitu sio maajabu sana.. Huwa inatokea mara kwa maraMwaka 2001 nilikuwa ndani ya Hice "public transport" ikiwa natokea Wilayani Kahama naelekea Kakola. Tulipo fika kijiji cha Lunguya, gari nilivyo panda ikiwa imesimama barabarani ikishusha abiria, nikishuhudia Mvua kubwa ikinyesha upande mmoja wa barabara na upande mwingine ikiwa hainyeshi na ardhi ni kavu kabisa.....
Hili jambo lilinishangaza sana hakika
Kwakweli mdomo wangu ulibaki waziDuh! Hatari sana mkuu
Hazungumzii vijiji bali hapo alipokuwepo upande mmoja kuna mvua kubwa upande wa pili kuko safi.Ni kitu cha kawaida sana kama unasafiri barabarani unatoka dar kwenda mwanza unaweza kukutana na mvua hata mara tano na jua pia unajikuta unaendaa kuna bonge la mvua mara kidogo unakuta imekata jua kaliii na mbele kukavuuu
Jamaa hawakukupiga kweli...Walifunga njia na walikuwa na silaha hivyo hakukuwa na njia yeyote ya kufanya zaidi ya kusimama.
Ni kweli ila nyakati hizo nilikuwa bado bwana mdogo sana na hata ujinga huo nilioufanya ulichochewa na umri, kilichonisaidia nilikuwa na watu watatu ndani ya gari na wao walikuwa wakubwa sana kwangu hivyo wao ndio walichezea kichapo na kuhojiwa kwa nini waniruhusu mimi nikimbie ilihali wao ni wakubwa zangu.Jamaa hawakukupiga kweli...
maana ukiwakimbia wakikudaka...
wanakuwa kama mbogo