Godoro la kioo JF-Expert Member Joined Aug 2, 2025 Posts 456 Reaction score 1,003 Mar 1, 2026 #1 Kuna Ile umemtembelea mgonjwa halafu baada ya muda kidogo anakwambia nifatie maji ya kunywa Ile unatoka tu kurudi unakuta mtu hauko nae Tena Je umewahi kukutana na Hali ya namna hiyo ni machungu kiasi gan ulipitia Na je ulichukua hatua gani
Kuna Ile umemtembelea mgonjwa halafu baada ya muda kidogo anakwambia nifatie maji ya kunywa Ile unatoka tu kurudi unakuta mtu hauko nae Tena Je umewahi kukutana na Hali ya namna hiyo ni machungu kiasi gan ulipitia Na je ulichukua hatua gani
Jack Daniel JF-Expert Member Joined Sep 23, 2021 Posts 4,900 Reaction score 19,631 Mar 1, 2026 #2 Kifo ni kifo tu hakizuiliki
Mbaga Jr JF-Expert Member Joined May 28, 2018 Posts 54,604 Reaction score 133,247 Mar 1, 2026 #3 Siku nyingine nenda kabisa na maji ili mgonjwa akose cha kusingizia
Seran JF-Expert Member Joined Feb 7, 2025 Posts 35,737 Reaction score 102,658 Mar 1, 2026 #4 Mbaga Jr said: Siku nyingine nenda kabisa na maji ili mgonjwa akose cha kusingizia Click to expand... Kwamba mgonjwa anasingizia hakupewa maji kwa wakati?
Mbaga Jr said: Siku nyingine nenda kabisa na maji ili mgonjwa akose cha kusingizia Click to expand... Kwamba mgonjwa anasingizia hakupewa maji kwa wakati?
Uhaini JF-Expert Member Joined Dec 6, 2025 Posts 318 Reaction score 797 Mar 1, 2026 #5 Kuna siri kubwa iliyopo kwenye Maji.... Fuatilia Utaona, mtu yeyote aliye kwenye hatari ya kupoteza maisha kitendo Cha kutaka kumpa maji anaweza kuwa mkali na mkakwazana mnoo
Kuna siri kubwa iliyopo kwenye Maji.... Fuatilia Utaona, mtu yeyote aliye kwenye hatari ya kupoteza maisha kitendo Cha kutaka kumpa maji anaweza kuwa mkali na mkakwazana mnoo
Mbaga Jr JF-Expert Member Joined May 28, 2018 Posts 54,604 Reaction score 133,247 Mar 1, 2026 #6 Seran said: Kwamba mgonjwa anasingizia hakupewa maji kwa wakati? Click to expand... Anataka afe mbele ya mtu wa watu kwa kisingizio cha kuomba maji, sasa ili akose kisingizio Inabidi Kila ukienda unaenda na maji
Seran said: Kwamba mgonjwa anasingizia hakupewa maji kwa wakati? Click to expand... Anataka afe mbele ya mtu wa watu kwa kisingizio cha kuomba maji, sasa ili akose kisingizio Inabidi Kila ukienda unaenda na maji
Seran JF-Expert Member Joined Feb 7, 2025 Posts 35,737 Reaction score 102,658 Mar 1, 2026 #7 Mbaga Jr said: Anataka afe mbele ya mtu wa watu kwa kisingizio cha kuomba maji, sasa ili akose kisingizio Inabidi Kila ukienda unaenda na maji Click to expand... Hata hivyo ni siri ya wawili..akifa itabaki siri😁
Mbaga Jr said: Anataka afe mbele ya mtu wa watu kwa kisingizio cha kuomba maji, sasa ili akose kisingizio Inabidi Kila ukienda unaenda na maji Click to expand... Hata hivyo ni siri ya wawili..akifa itabaki siri😁
Monetary doctor JF-Expert Member Joined Oct 20, 2022 Posts 14,284 Reaction score 27,281 Mar 1, 2026 #8 Binafsi nikiona hiyo hali kupona itakuwa ngumu bora nimfuatie hayo maji, ni ngumu aseeh so poa
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 179,125 Reaction score 196,843 Mar 2, 2026 #9 Poleni sana wafiwa... Cc: Mahondaw