Hivi huwa mnaboeka eeeh?
Yaani watu bwana anataka ajue kuamka na kulala kwako,
Kula na kunya kwako yaani siyo siri naghafirika sana.
Halafu labda hili ndo lilisababisha nikapewa notes.
HAKUNA UMUHIMU WA KUJUANA UNDANI.
KUJUANA SANA MWANZO WA KUHARIBIANA CV.
aah hiyo ni kawaida tu na misimamo ya mtu, kwa mfano mimi nilipanga nyumba moja hivi kwa muda wa miaka minne lakin sikuwahi kukaa barazan kupiga stori na watu, sasa watu wakawa wanasema naringa jambo ambalo si kweli, mpaka nikahama baada ya miaka miwili kupita faza house akafariki nikaenda na siku hiyo bdo nikakaa barazani ! sasa ikawa mi mada mbona leo amekaa barazan! so no mtu tu anavyoamini katika kuishi na watu aishi vipi na ajichanganye vipi!
Nilitamani hiyo life style nadhani ndo muda wa kuiishi nao binadamu watu wa ajabu sana
ngoja tu niwadediketie "kigeugeu" by jaguar
hata ninaowaamini ni vigeugeu tu
Sijaona tatizo ikiwa alikuwa anatoa msaada na yeye anaomba kusaidiwa..hayo mengine ni wasiwasi wako kwa vile hamja 'match' katika swala zima la 'kufatiliana'.
Watu wa hivyo unaishi nao kawaida tu. Ni tabia ya mtu,sidhani kama ipo namna ya kubadilisha.
Hao ni wenzetu wa kitengo,ukiona hvyo kutakua kuna mision alikua anaifuatilia eneo hilo,sasa ameikamilisha hivyo ameamua kuabandon hayo makazi yake,au amehisi kuna watu wameanza kumshtukia issue zake.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.