Umewahi kuishi na Mwanamke mjuaji?

Hakua mpenzi ila alikua rafiki. Nilipompa kero zangu kwake alijifanya mjuaji. Vilipozidi nilimfungia milango na madirisha. Alizunguka kwa ninaowafahamu ili watupatanishe. Alishachelewa.
 
Wakuu habari za time hiii..
Nina kipengere ki1 kigumu sana
Je ulishawahi kuishi na mwanamke mjuaji?
Kama ulishawahi ulitumia njia gani kuminimize kama so kumaliza kabisa tatizo...
Assnteni
Haina haja kushindana nae akijifanya anajua wee kaa kimya alaf mcheck then fanya wewe vile unaona ni sahihi kwisha habari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…