Umewahi kuishi maeneo haya?

Naenda zangu T.o.m.ba, Italy.

Au naenda Kutiana Memon Hospital, Karachi Pakistan.

Au M.a.t.a.ko Oy, Finland.

Au Mavimoto Brazil.

Au Shuzi Alley, Hunan China

Au Mbolompeni, Eastern Cape, South Africa

Au Mavuzhi, Masvingo, Zimbabwe

Au Kumagani Station, Japan
 

This is hilarious.....

Kweli zipo hizi sehemu au umetunga tu?
 
Du wewe Kiranga ni kiboko, kwa mwendo huo mtu inabidi utaje jina la nchi tu~huna sababu ya kutaja jina la mji. Ha ha ha!.
 
Niliwahi kutana na msichana wa kijapani anaitwa M.Kanagawa kutoka Kumamoto.
 
Hii inanikumbusha enzi za shule ya msingi tuafundishwa English..opposite words. Mwalimu kakazana kuiba "Near---far" wanafunzi wana katama kuitikia, zaidi wanainama chini. Kumbe maneno hayo yanatamkika kwa kilugha kilee kama hivi:

Near===kunya
far=== hapa

Near --far===kunya hapa!
 
Huo mji wa eastern cape south africa
ukisikia mkeo kaenda huko lazima uweweseke
 

Ndugu yangu hiyo kanda ya kati nini ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…