Umewahi kuibiwa simu iphone 5?

Umewahi kuibiwa simu iphone 5?

Charles Mkubya

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2009
Posts
206
Reaction score
161
Ni takribani mwezi mmoja umepita nilikuja JF kuomba msaada baada ya kuibiwa simu yangu pale Darajani kuelekea mataa ya Changombe. Kwa bahati nzuri nimeipata jana baada ya mtu kuipeleka I-store Mlimani city apate msaada ya kuifungua (Istore n dealers wa Apple product Authorised agents), wahudumu walipoiunganisha na computer zao wakakuta iko locked na ujumbe wangu kwamba simu ile ilikua imeibiwa, atakaeipata anipigie simu kwa number nilizokuwa nimeweka pale, wakanipigia simu wakanieza stori nzima waiomba niende na ID card. Alikua kijana mdogo (sitoweka number yake hapa wala jina lake but kwa maelezo ya wahudumu pale istore, simu hiyo alipewa na kaka yake. Asanteni kwa wale mlionipa moyo kuwa itapatikana na wale waliokuwa wanaitafuta kimya kimya. Kwa ambao walikua hawajaona, hii link ndio niliotoa siku nimeibiwa. https://www.jamiiforums.com/habari-na-hoja-mchanganyiko/608175-zawadi-nono-iphone-5-a.html
 
pongezi kwa mafanikio ya cm yako fundisho kwa wengine sasa kila m1 ajitahidi kununua cm ya thamani dukani tena yenye wrrnty na security km i fone na blackberry!!!!!!
 
Ni takribani mwezi mmoja umepita nilikuja JF kuomba msaada baada ya kuibiwa simu yangu pale Darajani kuelekea mataa ya Changombe. Kwa bahati nzuri nimeipata jana baada ya mtu kuipeleka I-store Mlimani city apate msaada ya kuifungua (Istore n dealers wa Apple product Authorised agents), wahudumu walipoiunganisha na computer zao wakakuta iko locked na ujumbe wangu kwamba simu ile ilikua imeibiwa, atakaeipata anipigie simu kwa number nilizokuwa nimeweka pale, wakanipigia simu wakanieza stori nzima waiomba niende na ID card. Alikua kijana mdogo (sitoweka number yake hapa wala jina lake but kwa maelezo ya wahudumu pale istore, simu hiyo alipewa na kaka yake. Asanteni kwa wale mlionipa moyo kuwa itapatikana na wale waliokuwa wanaitafuta kimya kimya. Kwa ambao walikua hawajaona, hii link ndio niliotoa siku nimeibiwa. https://www.jamiiforums.com/habari-na-hoja-mchanganyiko/608175-zawadi-nono-iphone-5-a.html

Mh mkuu mbona kama wanigutusha kitu! Skia kuna mtu namfahamu anataka kuniuzia iphone 4s ila tatizo lake ukiweka line yoyote za mitandao ya bongo haisomi. Sasa umenitia shaka kidogo nisije nikainunua then wakati naishughurikia ikatokea kama kilichotokea kwa simu yako!
Je kutosoma line za bongo haiwezi kuwa imelokiwa kwa swala la ulinzi? Nifafanulie please
 
Me nimeibiwa iphone 4s nilikuwa nimeiwekea tu pasword ntawezakuipata?,msaada wakubwa!

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Msaada me nimeibiwa I phone 4s ntawezakuipata?,maana niliiweka Pasword tu!

Ndugu Charles, hongera sana kupata simu yako.mimi naomba unisaidie jinsi ya kui lock simu yangu ni samsung galaxy note 2.pls brother.
 
Mh mkuu mbona kama wanigutusha kitu! Skia kuna mtu namfahamu anataka kuniuzia iphone 4s ila tatizo lake ukiweka line yoyote za mitandao ya bongo haisomi. Sasa umenitia shaka kidogo nisije nikainunua then wakati naishughurikia ikatokea kama kilichotokea kwa simu yako!
Je kutosoma line za bongo haiwezi kuwa imelokiwa kwa swala la ulinzi? Nifafanulie please

kaa mbali sana na simu za mitaani, risk ni nyingi kuliko faida, simu nyingine zinaibiwa na kuacha kesi za mauaji!!!! , just imagine unakamatwa na simu ambayo huko ilikotoka mwenyewe aliuwawa na kuporwa vitu vingi vya thamani ikiwemo na hiyo simu.... sijui kitatokea nini
 
Mh mkuu mbona kama wanigutusha kitu! Skia kuna mtu namfahamu anataka kuniuzia iphone 4s ila tatizo lake ukiweka line yoyote za mitandao ya bongo haisomi. Sasa umenitia shaka kidogo nisije nikainunua then wakati naishughurikia ikatokea kama kilichotokea kwa simu yako!
Je kutosoma line za bongo haiwezi kuwa imelokiwa kwa swala la ulinzi? Nifafanulie please

Ni PM kama bado haujaweza kutumia line za bongo
 
du hongera sana, kuna simu zingine kuibiwa ni vigumu, hivi angeenda kuiflash nayo pia ungeipata?
 
hongera kwa kuipata hiyo simu yako itabidi nami niweke rock na unifundishe namna ya kuweka rock kwa simu yangu aina ya lg smartphone
Ni takribani mwezi mmoja umepita nilikuja JF kuomba msaada baada ya kuibiwa simu yangu pale Darajani kuelekea mataa ya Changombe. Kwa bahati nzuri nimeipata jana baada ya mtu kuipeleka I-store Mlimani city apate msaada ya kuifungua (Istore n dealers wa Apple product Authorised agents), wahudumu walipoiunganisha na computer zao wakakuta iko locked na ujumbe wangu kwamba simu ile ilikua imeibiwa, atakaeipata anipigie simu kwa number nilizokuwa nimeweka pale, wakanipigia simu wakanieza stori nzima waiomba niende na ID card. Alikua kijana mdogo (sitoweka number yake hapa wala jina lake but kwa maelezo ya wahudumu pale istore, simu hiyo alipewa na kaka yake. Asanteni kwa wale mlionipa moyo kuwa itapatikana na wale waliokuwa wanaitafuta kimya kimya. Kwa ambao walikua hawajaona, hii link ndio niliotoa siku nimeibiwa. https://www.jamiiforums.com/habari-na-hoja-mchanganyiko/608175-zawadi-nono-iphone-5-a.html
 
hongera kwa kuipata hiyo simu yako itabidi nami niweke rock na unifundishe namna ya kuweka rock kwa simu yangu aina ya lg smartphone

Asante Lady niece, nachojua smartphone nyingi zina features ambazo waweza kuifuatilia sehemu ilipo na wakati mwingine hata number ya line ya anaeitumia. Ingia google utapata maelekezo zaidi but you can put securities.
 
du hongera sana, kuna simu zingine kuibiwa ni vigumu, hivi angeenda kuiflash nayo pia ungeipata?

Asante mkuu, uzuri wa hizi iphone, ukifanikiwa kuifunga mapema pale tu inapoibiwa, hakuna mtu au fundi anaweza kuiflash. Hata apple wenyewe ukiwaomba waifungue wanakuambia mtafute owner wake ndio anaweza. So utaipata tu labda aamue kuitupa tu.
 
Ndugu Charles, hongera sana kupata simu yako.mimi naomba unisaidie jinsi ya kui lock simu yangu ni samsung galaxy note 2.pls brother.

Asante Mmawia. Mimi sio mtaalam kivile, najifunza kupitia sources kama google. ukiingia google kuna maelekezo mazuri sana ya jinsi ya kuziwekea tracking software na locks. Mtu anapoiiba then unakua na uwezo wa kuifuatilia popote ilipo so long iko connected. Kama hutoweza then ijumaa jioni naweza kupata nafasi nikapitia chochote nikakuelekeza au mtu yoyote hapa JF anaweza kutoa darasa pia.
 
Unawezaje kuweka huo ulinzi kwa cm

Simu nyingi siku hizi hasa hizi smartphone zina hizo options. Jaribu kuingia google, search aina ya simu yako na security features utajifunza mengi tu.
 
Msaada me nimeibiwa I phone 4s ntawezakuipata?,maana niliiweka Pasword tu!

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums

Ilikuwa na iOS ngappi? Na je, ulikuwa umeactivate "find my iphone"? Ukiingia iCloud unaiona?
 
Mh mkuu mbona kama wanigutusha kitu! Skia kuna mtu namfahamu anataka kuniuzia iphone 4s ila tatizo lake ukiweka line yoyote za mitandao ya bongo haisomi. Sasa umenitia shaka kidogo nisije nikainunua then wakati naishughurikia ikatokea kama kilichotokea kwa simu yako!
Je kutosoma line za bongo haiwezi kuwa imelokiwa kwa swala la ulinzi? Nifafanulie please

Pole, nyingine zinakua zimefungwa tu kwa mitandao ya huku. Hivyo kuna websites au wataalam ukiwatumia imei ya simu, wataangalia status yake, kama ni hiyo ya mitandao wanafungua kwa kuomba codes apple, unalipia nadhani dola 150 au zaidi kulingana na location nadhani But be careful. Kama iliibiwa pia utaambiwa. Nadhani hata wewe mwenyewe unaweza kuangalia kwa internet.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom