Miaka fulani hivi nyuma mimi na jamaa zangu watatu tulijijengea akili ya kuogopa sana ngoma, yaani ilikua tukipiga story za mapenzi tunaongelea ngoma tu all the time hiyo ikafanya kila mwanamke tukimuona tuhisi kama ni HIV+.
Hiyo ilipelekea kukosa kula mbususu kizembe kwa mtoto mmoja aliyekua anatoka chuga kuja shule mkoa mmojawapo nyanda za juu kusini, akiwa kwenye gari tulikua tukiwasiliana kawaida tu lakini ilivyofika saa tatu akaniambia anadhani atachelewa sana kufika na sehemu gari ingemshusha mpaka shule ni mbali kiasi nikamwambia usiogope utapata boda mvua ilikua inanyesha hiyo siku mi nikalala mpaka saa 7 usiku simu inaita kucheki ni yeye akaniambia anakaribia sehemu ya kushukia na hiyo sehemu na ghetto kwangu sio mbali na kulikua na kimvua basi nikasema ngoja nije stend nikusaidie kutafuta boda....nikafika stend nikasubiri kama dakika 10 bus likafika binti akashuka na vi mizigo baadhi.
Kimasihara nikamwambia hii mizigo na hii mvua tena kwa bodaboda mbona utaloa kwanini usilale kwangu, akaniambia sitakua comfortable niliwish nimalize safari now nipumzike mpaka kesho mchana, nikamwambia lakini situation unaiona basi akasema twende kwako, tukachukua boda ikatufikisha ghetto ni karibu tu toka stend kwa sababu ya mvua na mizigo ndo maana tukachukua boda.
Nikampashia maji akaoga kuhusu kula akaomba chai tu nikampashia akanywa muda wa kulala nikamwambia utalala kitandani mimi nitalala kwenye sofa, kweli akalala kitandani but mm usingizi ukawa haupo kabisa nawaza nimege au niache ile mindset ya ngoma ndo ikawa inazunguka kichwani mwangu na hofu ilizidi kwa sababu binti alikua na viupele kidogo tu hivyo nikawa najudge vile viupele si inaweza kuwa ngoma hii, mwisho wa siku nikalala kukakucha mpaka mida ya saa nne binti anaondoka nikiwa sijafanya chochote na nafasi ile kamwe haitajirudia na ninaijutia ile nafasi ya kukusa mbususu kizembe mpaka sasa.
Tuambie wewe ulikosaje mbususu kizembe.
Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app