Price
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 1,502
- 922
Tena nasema sipendi na sitaki msione nawanyamazia na kukata simu sipendi sema tu siwezi kutukana. Unapiga simu usiku badala ya kuongea mambo ya maana unataka kujua nimevaaje, he! itakusaidia nini wewe, am i your Girlfriend?
Hata nisipovaa haikusaidii kitu, na hata nikivaa overall usiku haikusaidii. Baadhi ya wanaume mpoje, yani hadi ujue Msichana au Mwanamke usiku anavaa nini?
Ongeeni mambo ya msingi bwana kama huna its better usipige simu