Ambition plus
JF-Expert Member
- Feb 23, 2018
- 7,028
- 13,372
Mbona sioni mkia wa fisi hapo?
Hivi viatu vinauzwa wapi?
Wee pasuka tyuuh, mbna kawaida. ππππView attachment 3214072dah! OG NI OG, huu uzi 400k, famba unavaa pair nane ama zaidiβ¦ najitafakari nipasuke ama lah
Macobo cobo πππππ
Uache kuvaa vinjunga nawee, mmmh
π₯°π₯°Hiyo
Kitambi cha uchokozi kinaonekana, ππππsheikh ubwabwa ππ
Nimeshiba pilauππ halafu hiki cha kufutia simuKitambi cha uchokozi kinaonekana, ππππ
Kwa kweli, ππππNimeshiba pilauππ halafu hiki cha kufutia simu
Bifu hamna, mie si nimeshauri tyuuh.Mjukuu kwani tuna bifu!?π