fanya kutoa hilo ua maana wewe sio mti mpaka uoteshe maua usoni..π
Kuna watu wachafu aisee hata akisema hana UTI unakataa. Sasa wewe mtoto safi kabisa hata ukiwa na UTI ni ngumu kuaminiKwani unadhani UTI inajificha wapi...?[emoji16]
Atakaye pata U.T.I aje akanyage mafuta hapa kwanguππ
Wee nenda . At ur own riskπKuna watu wachafu aisee hata akisema hana UTI unakataa. Sasa wewe mtoto safi kabisa hata ukiwa na UTI ni ngumu kuamini
Hebu mjibu kwa kuweka yako sasaππDr km Dr ππππ
Kiportable!"
Dah!!. Anyway usitoe Ua kuna mijamaa ya ovyo itaitumia kufanyia vitu na sabuni bila idhini yako. πππ
Ujumbe niupata. Nimeiona ile foto. Aisee nakiri ur so beauty. Mimi huwa sitetemeshwi ila kwa.hapa. Mmmmmm. Mmmmm. Speechless
Umeniona wapi wakati nimeifuta?π€unanitishaππTayana-wog bi mzuri japo umefuta nimekuonaaaa! ππΊπΊπΊ
Kwakweli Bora nilikulkataaUjumbe niupata. Nimeiona ile foto. Aisee nakiri ur so beauty. Mimi huwa sitetemeshwi ila kwa.hapa. Mmmmmm. Mmmmm. Speechless
Mi mtu akifuta nikiview naiona, nikiview mara ya 2 siioniβ¦. Japo si kwa picha zote. Baadhi wakifuta siwezi kuview.Umeniona wapi wakati nimeifuta?π€unanitishaππ
Rafiki Tayana-wog umefuta? Nishtue ukiweka plsTayana-wog bi mzuri japo umefuta nimekuonaaaa! ππΊπΊπΊ
Kumbe?Mi mtu akifuta nikiview naiona, nikiview mara ya 2 siioniβ¦. Japo si kwa picha zote. Baadhi wakifuta siwezi kuview.
Niliwaita hamkuwepoRafiki Tayana-wog umefuta? Nishtue ukiweka pls
Mi natumia web.Kumbe?
Au ni aina ya app?
Km wenye wasap JB ,ht ukifuta stts wao wanaona
Ila wwπ π π πKuna watu wachafu aisee hata akisema hana UTI unakataa. Sasa wewe mtoto safi kabisa hata ukiwa na UTI ni ngumu kuamini
π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£
Nimecheka hadi machozi yametoka. Nilijua tu mi ni wastory tuu. Nani anataka UTI sugu.πββοΈπββοΈ
Mi napenda utani kucheka tufurahi.sas hivi kuna maisha yaletwayo na stress. Usimudhi mtu ukiona hajafurahi comment yako omba msamaha ππ€£π€£π€£π€£π€£
Acha tucheke tu rfk angu ,tufurahi