Na mie usinisahauAhaaa Hivi ile ya Biashara ya uber ulimaliza kuisoma??
Saizi nyingi hazivutii kabisa usijali ikitupiwa karee ntakustua kam kauwaaa!
Masogange?
πΉUsijareee Najua ni utani rafiki samalekooo ποΈ!
Yaani mimi lastborn umeninyima pichaπ
Sawa tuπNa ulivyo king'ang'anizi sasa kwa jambo lakoπππ
ANasemaga Chakorii
Usijali cousinNa mie usinisahau
Si utakuwa bado single. Au Kantrii sio zimwi likujualo tena[emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23] mxiewwww!! Ngoja coca aje km hajakuacha na yeye unamponda
Sitaki kuwatisha mkimbie thread πMalizia likamilike basi Dr.
Zimwi likujualoπSi utakuwa bado single. Au Kantrii sio zimwi likujualo tena[emoji16][emoji16]
Cuzoo wa coca hauna mbambambaa ni live bila chengaaa!
Hamtaki KantriiiZimwi likujualo[emoji4]
Single ndio nini? Na kantry ndio kitu gani? πππSi utakuwa bado single. Au Kantrii sio zimwi likujualo tena[emoji16][emoji16]
mamdogo vp! Huonekani sana jukwaani au umeanza kupata tenda za kirisimasiSingle ndio nini? Na kantry ndio kitu gani? πππ
Watu na mazimwi yenu πππZimwi likujualoπ
Sema kweli πππHamtaki Kantriii
Nimefichwa na baba ako mdogo πππmamdogo vp! Huonekani sana jukwaani au umeanza kupata tenda za kirisimasi