Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,813
- 235,972
Acha tuLeo naona uko happy sana my sister.
Karibu krismass huku mwakaleli
Wakemia na matajiri hahaha Anne weweNgoja nitafute
Ila kaandika huyo mwamba anaitwa TAI DUME
sijawahi muonaga akikatiza jf,ndio nimekuona kwenye stori.
Jamaa ni π₯
Ila stori yake inabamba kwa sisi majobless
Wakemia na nyie matajiri itawachosha
Sema tajiri una jina gumuMwenyewe jobless reincarnation
Pole sana.Acha tu
Nifanyeje sasa πππ
Nimesugua benchi toka asbh hadi muda huu mgonjwa wangu anasubiria foleni..hadi muda huu bila bila
Nimekasirika hadi nikachoka.
Zile stori zetu sisi majoblessWakemia na matajiri hahaha Anne wewe
Nipe hata kibarua Cha kufuta hiyo Dell PC Yako tajiriMwenyewe jobless reincarnation
We last born mbona kajina rahisi sana kushika.Sema tajiri una jina gumu
Kila nikifika kwenye thread nikutag,nasahau spelling za jina lako
Malastborn hatupendi mambo complicatedWe last born mbona kajina rahisi sana kushika.
We mrembo na vumbi wapi na wapi.Nipe hata kibarua Cha kufuta hiyo Dell PC Yako tajiri
Ndio kazi zangu hizo kaka meneja πWe mrembo na vumbi wapi na wapi.
We si unajifanya baunsa, niliona umeomba tenda ya kung'oa visiki vya mbuyu heka 50πMalastborn hatupendi mambo complicated
Litaniumiza vidoleπ
Nikaambiwa nitume picha nikiwa gym πWe si unajifanya baunsa, niliona umeomba tenda ya kung'oa visiki vya mbuyu heka 50π
Toto raini kama wewe hata jembe hujui linashikwaje.Nikaambiwa nitume picha nikiwa gym π
DadeqToto raini kama wewe hata jembe hujui linashikwaje.
Unamaanisha kuhusu jobless au unatania?Dadeq
Mezaliwa Mwakaleli ndanindani huko ambako kilimo ni uti wa mgongo.
Nyie ndio mtasababisha majobless tufe njaa, hamtaki kutupa michongo hiyo.
[emoji1548][emoji419][emoji375]Kaka mkubwa wewe umesema nani atabisaha
Nashusha mzigo hapa
Ujobless hautaniwi mkuu[emoji23]Unamaanisha kuhusu jobless au unatania?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]