Umevaa nini leo? Tupia uturingishie

Mimi sio andunje, ila sio mrefu pia. Yaani nikisimama kwenye daladala naona kabisa sio andunje. [emoji1787]
Kwa wanaume we mfupi Bwana [emoji23]
Labda kama unajilinganisha na sisi dada zako.

Kwahiyo huwa unajipima kwenye daladala na watoto wa shule?

Mengine yote umetupiga bwana,six pack mwili wa Shwazerneger kabisa
Kuvaa smart sana,mara mojamoja kitozi ni nyuzi zenu arsenyau[emoji38]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We umeniona wapi hadi useme mie mfupi? Kwa hiyo daladala wanapanda wanafunzi tu sie baba zao tunapanda nini?

Six pack naitoa wapi wakati sifanyi mazoezi, nipo na one big pack hapa sina shida na mtu🤣🤣🤣
 
We umeniona wapi hadi useme mie mfupi? Kwa hiyo daladala wanapanda wanafunzi tu sie baba zao tunapanda nini?

Six pack naitoa wapi wakati sifanyi mazoezi, nipo na one big pack hapa sina shida na mtu🤣🤣🤣
😂😂😂😂😂
Vipande vya picha kule selfika
Nikakadiria😂

Daladala tunapanda sisi jobless bwana
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…