Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,868
- 236,283
Pole sana,Halafu mdogo wangu kuna shida moja nimepata, unikumbuke kwenye maombi yako please!
Unitamkie kunyanyuliwa nina imani nitapokea! [emoji1317]
Unajuaga kunipanikisha... siku nikiwa mod nitatoa hilo kufuli la pmInbobo hujaona msg zangu za mwisho?
Amen napokea…. Sipo comfortable kushare kwa sasa, ila nitakwambia usijali.Pole sana,
Ni shida gani hiyo?
If you're comfortable to share you're welcome,feel free...
Kuna kaupako na kanguvu natembea nako hizi week 3 za fasting prayers.
Mungu aonaye sirini amesikia haja yako na atakujibu.
Ntakuweka kwenye maombi na Bwana atatenda naamini.
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah 😂Unajuaga kunipanikisha... siku nikiwa mod nitatoa hilo kufuli la pm
Enhee ndio ndio Dr. 🥰Wow!!!🥰
Soon boo. 😊Text me
ASAPSoon boo. 😊
Ukiwa tayari karibu sanaAmen napokea…. Sipo comfortable kushare kwa sasa, ila nitakwambia usijali.
Kama ulivyosema aonaye sirini ……. Na akapate kunitendea 🙏🏻
🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻Ukiwa tayari karibu sana
Pm yangu ipo wazi.
Kwa imani tutaomba,Mungu anakujua vizuri na anajua shida zako maana pumzi yako ni taa yake,nayo yapeleleza yoote yaliyomo ndani yako.
Usiogope,tuombe kwa bidii, prayers works.
Pole sana
May the comfort of God be with you,it shall be well... you're in my prayers&will pray hard for you I promise 🙏.
Tuone YakoMbn hamtupii sasa ?
1Wakorintho 10:13 “Jaribu halikuwapata ninyi, isipokuwa lililo kawaida ya wanadamu; ila Mungu ni mwaminifu; ambaye hatawaacha mjaribiwe kupita mwezavyo; lakini pamoja na lile jaribu atafanya na mlango wa kutokea, ili mweze kustahimili”.Ukiwa tayari karibu sana
Pm yangu ipo wazi.
Kwa imani tutaomba,Mungu anakujua vizuri na anajua shida zako maana pumzi yako ni taa yake,nayo yapeleleza yoote yaliyomo ndani yako.
Usiogope,tuombe kwa bidii, prayers works.
Pole sana
May the comfort of God be with you,it shall be well... you're in my prayers&will pray hard for you I promise 🙏.
Ahsante ,yeah nimetoka jana mchana ,naendelea vzr bestTuone Yako
Umekuwa discharged kule wodini ukikosema kwenye uzi Fulani?
Pole sana, ulikuwa unaumwa nini mjeda?
Haya tupia kaselfie.
Why unipe kanyaro[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] naanzaje na hata sikujui?
Ndio wanatafutwa kwa tosha atakama ukimuona basi shemeji sasa sisi tukapumzikie wapi😂Halafu kuna limtu lilisema JF haina warembo, atafutwe apigwe ban kwa uzushi 😀
Yako iko Wapi?Mbn hamtupii sasa ?
Ewaaaa!
View attachment 2842397kwenye swala la kupigilia mimi kwakweli nimepitwa sana na wakati... haya wale ambao mnapenda kutumia mitandao kwa kificho kazi kwenu...sina ninacho hofia🤣🤣🤣🤣
Nimeweka juu hapo ,watu wameipitia ,sijui wameipeleka wapi ?Yako iko Wapi?
Upo nacked au vpEwaaaa!
Huku Tunaita naked kweriiii kweriiii!