Wakitupia Ntakua nakuita ukichelewa ntakusevia πBasi mi nimekuta zimefutwa zote , sijaingia kwa uzi siku 3 sijui.
Warembo kina Tayana wote wamefuta dah! Ntawavizia tu π
Labda ni mwana Siasa anaogopa πraraa re Mjanja huyo hata hajawahi kutupia humu
Ewaaaaaa!π₯°Kichinjio kipo tayari na hapa ushakinoa
Nyiee sikubali ngoja namie nidake mtoto wa mtuu π€Chagua shauri ako shangaa utakuta tumegawana wenzio π
Enheee kizuri kula na nduguyo! π₯°π₯°π₯°Wakitupia Ntakua nakuita ukichelewa ntakusevia π
Hakuna cha mwanasiasa wala nini mimi ni jobless tu hapa πLabda ni mwana Siasa anaogopa π
Hapa nafanya imagination tuπ huku nasubiri hatma yanguEwaaaaaa!π₯°
Mi jobless tu hapa π
Weee sema kweli?π€ π€Enheee kizuri kula na nduguyo! π₯°π₯°π₯°
Mie pia jobless !Mi jobless tu hapa π
Oyaaaaaa kwanza yule dogo vipi πMie pia jobless !
Nyieeee nawazoom tuNgoja niende pm wa wifeee
Dogo gani ebu nkumbushe!Oyaaaaaa kwanza yule dogo vipi π
Iβm humble you know! Unanikumbusha le mbebez ntaanza kulia ujue he used to be my crush! ππ₯Ή (Kama nawaona mnavyonicheka wana JF)Hakuna cha mwanasiasa wala nini mimi ni jobless tu hapa π
Ila binti kiziwi wewe ni le super gadem angel u know sio binti kiziwi tena u know π₯π₯π
Tenaπ€Iβm humble you know! Unanikumbusha le mbebez ntaanza kulia ujue he used to be my crush! ππ₯Ή (Kama nawaona mnavyonicheka wana JF)
Vizuri havihitaji haraka, unapenda kuhongwa??? Natafuta kibunda vuta subira mbebez π€¦π»ββοΈHapa nafanya imagination tuπ huku nasubiri hatma yangu
Kumbeeee π basi mimi ni kopi yakeIβm humble you know! Unanikumbusha le mbebez ntaanza kulia ujue he used to be my crush! ππ₯Ή (Kama nawaona mnavyonicheka wana JF)
Mimi nihonge tunda tu loveVizuri havihitaji haraka, unapenda kuhongwa??? Natafuta kibunda vuta subira mbebez π€¦π»ββοΈ
Aaah bhana yule mlikuwa wote lab amenyoa πDogo gani ebu nkumbushe!