Usidanganyike!!!π€Halafu bado kabichi haka ka Dr Lizzy aisee. Me nimepagawa hapo kifuani balaa
Asante mpenzi! βΊοΈβΊοΈπππ Unaishi pazuri dada. Picha zako zinakuwa kwenye mazingira yenye hadhi. Halafu na wewe una hadhi ya juu. Nakupenda sis
Ngozi nyororo nyororoUsidanganyike!!!π€
Nionyeshe mfano! πΆβπ«οΈAlafu apost π€³ kuibless mchana akiwa hajaweka emoj yoyoteπ
Ni filter tu π₯΄Ngozi nyororo nyororo
Mtani unataka kuchukua nyota nn???π€£π€£π€£Unajua kwanini tuna vioo majumbani na wengine kwenye mapochi? Kupendeza!
Unajua ni kwanini mara nyingi huchagua viwalo? Kupendeza!
Unajua kwanini baadhi yetu hupenda watu watuangalie na kutusifia? Kupendeza!
Hebu tupia ulichovaa leo iwe saa, miwani, wigi, kiatu ama nguo yoyote ile na urembo wowote ule..
Kama huna basi tupia hata cha mtandaoni unachoona aliyevaa kimemtoa kwatu na kupendeza sanaView attachment 2817216
Sent using Jamii Forums mobile app
View attachment 2817248
Weka chap nione mwenyeweNionyeshe mfano! πΆβπ«οΈ
Hii hapa πWeka chap nione mwenyewe
nikajuage we chalii kumbe mzee babaView attachment 2838553
Super Sunday
MuoneHii hapa π
Age imeendanikajuage we chalii kumbe mzee baba
msalimie mamilooAge imeenda
Hajui hata username yangu ya jfmsalimie mamiloo
Siku hizi sichukui nyota mtani nachukua vivuli [emoji23]Mtani unataka kuchukua nyota nn???[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mtani wewe dawa yako tukuozeshe mke wa pili utulie π€£π€£π€£π
Na una visu
[emoji23][emoji23][emoji23] nina moyo mmoja tu mtani na nimeshamkabidhi mtu, huyo wa pili nitamuweka wapi?Mtani wewe dawa yako tukuozeshe mke wa pili utulie [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23]
Hahahah nabarizi tu kilingeni Msata nimeacha yote ya ulimwengu huuNa una visu
NGOJA UPATE KIINUA MGONGO HUKO KWENYE CHAMA CHENU TUONE UKWELI WA MANENO YAKO MTANI π€£π€£π€£[emoji23][emoji23][emoji23] nina moyo mmoja tu mtani na nimeshamkabidhi mtu, huyo wa pili nitamuweka wapi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Muda utasema [emoji23]NGOJA UPATE KIINUA MGONGO HUKO KWENYE CHAMA CHENU TUONE UKWELI WA MANENO YAKO MTANI [emoji1787][emoji1787][emoji1787]