Umevaa nini leo? Tupia uturingishie

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Wewe tatizo mchumba anapatikana vizuri, anakuuliza unaishi wapi? Unamjibu Tegeta nyuki!
Akiomba pesa unaanza kusema ooh! Niko abroad narudi uko karibu na Christmas 🀣🀣🀣
Mpaka apo nimegundua wewe & Ms eyes mnataka mtoto wa mwanamke mwenzenu nife kwa ugwadu 🀣
 
Anko nifanyie mimi connection [emoji1545][emoji1545][emoji818]

Sent using Jamii Forums mobile app
Limeisha anko, subiri warembo waje hapa!!

Nyie πŸ—£Diva’s na slay queen’s kuna big daddie kapatikana! Boss la jf njooni mjifotoe 🀣🀣🀣🀣
Tena mganga kula vikuku vya dawa uhakika
 
Limeisha anko, subiri warembo waje hapa!!

Nyie πŸ—£Diva’s na slay queen’s kuna big daddie kapatikana! Boss la jf njooni mjifotoe 🀣🀣🀣🀣
Tena mganga kula vikuku vya dawa uhakika
🀣🀣🀣
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…