π€£π€£π€£ Mbona ghafla?hamuendani ata kidogo, badili channel π
Mwenzangu nani?Namchana ukweli tatizo lake mbishi kama mwenzie
β οΈπππWedding fyokofyoko.!!
Oh!..wewe ni military officer?π hizi commanding hadi kwa maandishiπNipatie haraka
Oh!..wewe ni military officer?hizi commanding hadi kwa maandishi
Saii nipo kazini nasubiria ugali ndondo hapaπ€ !Yeah usijali yakiwa tayari tu nayaweka hapa matembele,
Lakini sijaona yako ya matembele ili nipime upishi tofauti.
Dr irudiwe sikuwepo πππThank u Aaliyyah, tupia maphoto jamani
π€£mi na mfalme letu moja tunataka pindua nchi
That's good,nafikiri changu pia kipo tayari,muda muafaka kabisa huu.Saii nipo kazini nasubiria ugali ndondo hapaπ€ !
Alooo! Unatukomeshea ss hivi πππKwan south Africa nimerudi Wii?πππ
πππ watuibie masponsorKweli mbona sikuona mnarusha screenshot tuone
ndio hadi majina ya waganga mnanionesha?
Udugu mi nataka pic za juu buana π€£Story kidogo picha kwawingi wapendwa!
Calling it a day!πΆπ»ββοΈ
Naona Umetupia Jeans yakoπMi nimeanza kula embe hapa kwa raha zangu π€£
Mi sijibani napita nakedYaani kumepoa kweli, Hebu tupia nikuone ulivyopendeza my sexiest girlπ