Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 32,963
- 82,298
Nipe account number mamaNilikuwa nakusubiria rusha basi π«£
Nijipange ili niwafanyie love show off?π€£Sana yaan jipange
Mnaanza kutuwekea pic za kwenye movie za kina Dame sasa π€£π€£π€£
Naona amebanwa. Natuma Bolt. Aje achukue isio na tozoHapo sawa [emoji7][emoji7][emoji7]
Tajiri kazi kwako
Yes honey!Babe
Oyooooo!! Kapita bila kupingwa ππππ€£π€£π€£
Anewazidi wote haongei sn
Miamala tu inasoma
Huyu tumempitisha rasmi
Sema kweli[emoji2955]Hizo lips za mama yake kabisa[emoji18][emoji23]
Urushe huko au namba ya wakalaNipe account number mama
π€£π€£π€£ huu mwaka mshamba asipojinyonga bas hafi tena mpk uzeeniImepita hiyo ikirudi panchaπ
Haraka ya nini. Usizae kabla sijakupa shule ya kumenteini vitu vyako vibaki OGKababy kashweetiee [emoji8][emoji8][emoji8]
Udugu unanitamanisha jamani!!
Mwakani nizae sasa!!
π€£π€£[emoji102]
Kafungua kwaajiri yako wahi πππAmeifunga sio kwa kufuri tu. Au ngoja niangalie kwangu labda amekuja kiaina
πππ mwenzio nimetamani mtotoHaraka ya nini. Usizae kabla sijakupa shule ya kumenteini vitu vyako vibaki OG
Hee. Nimestuka inamaana kumbe tunapigwa na fotoshop? Nimeibiwa tayariMnaanza kutuwekea pic za kwenye movie za kina Dame sasa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mi natamami balaaaπππ mwenzio nimetamani mtoto
Ni auric air hiyo kindege cha wabongoπ€£π€£Mnaanza kutuwekea pic za kwenye movie za kina Dame sasa π€£π€£π€£
Zitume tu PM niwe naangalia kabla ya kulalaImepita hiyo ikirudi pancha[emoji23]
Me naongea na kaka Chale bhana πππHee. Nimestuka inamaana kumbe tunapigwa na fotoshop? Nimeibiwa tayari