Umevaa nini leo? Tupia uturingishie

Hehehehe anachamba yule na mkapatana aisee kweli wahombanao Ndio wapatanao
Bora nibaki na chaupole wangu mim yeye kucheka tu hanaga baya
Acha tyuuu!! Ss hivi yeye kawa mlinzi wangu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Atakayenigusa anaye!! Kasema vita yangu ni vita yake!! πŸ™Œ
Shem yuko vzr 😍😍😍
Na huo uchebe sasa πŸ˜‹
 
Umenishusha sanaaa aisee kaka yangu mwalimu mpwayungu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] naona aibu mie hapanaaaa
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Si unajua huku changanyikeni
Kaka ako kwan hayupo JF?!
Bas yaishe shost me natania tyuu!!
 
Acha tyuuu!! Ss hivi yeye kawa mlinzi wangu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Atakayenigusa anaye!! Kasema vita yangu ni vita yake!! πŸ™Œ
Shem yuko vzr 😍😍😍
Na huo uchebe sasa πŸ˜‹
Huhuu hiyo Ndio inatakiwa ujue kupambana mnapambana wote alaaa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…