Wa Kawaida tu....
Nadhani kazi za Dar es Salaam Stand Up na angalau Mashallah ndio alifanya kazi...
Aisee...
Ngoma iko poa sana kaka, halafu inabamba sana mitaani. Ngoma imetoka jana tu ila leo, ngoma inapigwa kila kona na watu wanaonyesha kuikubali sana. Kuanzia kwenye magari binafsi, bodaboda, daladala etc. Ngoma iko poa sana.Asipo fanyiwa fitna, itakuwa hit sana.
Inaweza ikabamba sababu ya Jina lake na sababu ya masahibu yaliyomkuta lakini sio sababu ya uzuri..., kwahio wewe unaweza ukaiweka hii kwamba ndio kazi yake bora kuliko nyingine ?
https://www.youtube.com/watch?v=cFkTC3ASw-M Dar es Salaam Stand Up
https://www.youtube.com/watch?v=3giG_HKMzhA Raha za Dunia Mashaalah ft Mzee Yusuf
Hizo hapo juu ndio kazi alizofanya kazi.... nyingine ni kelele tu na muunganiko wa maneno
Ngoma iko poa sana kaka, halafu inabamba sana mitaani. Ngoma imetoka jana tu ila leo, ngoma inapigwa kila kona na watu wanaonyesha kuikubali sana. Kuanzia kwenye magari binafsi, bodaboda, daladala etc. Ngoma iko poa sana.Asipo fanyiwa fitna, itakuwa hit sana.
Kote huko kwenye magari ya watu binafsi, daladala na bodaboda umepita saa ngapi?
Acha kamba bwana, hata kama unamfanyia promo teja, tafuta namna ambayo maneno yako yatakuwa yakikaribiana na ukweli.
Isikie mwenyewe hapo chini. Ni bonge la ngoma, naipa 5 Mic. Big us sana Chid Benz. Ngoma imetulia kuanzia Bit hadi flow. Bongo kuna biti kali kama hizi?
Chid Benz Atoa Wimbo Mpya Usikilize Hapa, Kawachana Wote Wanaomsema Vibaya | Udaku Specially
Kote huko kwenye magari ya watu binafsi, daladala na bodaboda umepita saa ngapi?
Acha kamba bwana, hata kama unamfanyia promo teja, tafuta namna ambayo maneno yako yatakuwa yakikaribiana na ukweli.
Ulivyoupa promo huo wimbo nikafanya fasta kuudownload, nilivyousikiliza sikuamin kama huo wimbo ndo umeupenda kiasi hicho kweli mapenzi ni upofu. Chorus yenyewe ya wimbo inamaneno haya "NAKINUKISHA KAMA KIMBA" just imagine verse itakuwaje. Anyway, nilikuwa napita tu
Haulali kaka? saa tisa usiku sasa? Anyways nilijisahau kumbe ni kiranga, najua utakuwa unasoma kitabu muda huu. Uko page ya 479 kama sikosei!!!!!
Saa tisa usiku wapi?
Na unajuaje kwamba leo siko Sydney Australia?